Pengo: Waacheni Wakristo wajiamulie
“MAASKOFU hatuna mamlaka ya kuwaamulia au kuwalazimisha waumini wetu wafanye uamuzi gani kuhusu Katiba. Kuwaamulia ni kuwadharau kuwa hawawezi kufanya uamuzi sahihi wao wenyewe na kuingilia uhuru wao. “Waraka huu unaleta utengano katika taifa kuwa Wakristo tumechukua uamuzi dhidi ya Serikali na wengine....Tuwaache waumini wafanye uamuzi kwa tafakari yao binafsi bila shinikizo letu…”
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Waacheni waulilie urais 2015, watanyamaza
MTOTO akililia wembe mpe, ukimkata atauacha. Hakuna ambaye amefika hapo alipo bila kukumbwa na mikasa au misukosuko ya hatari wakati akiwa mtoto kwa lengo la kuutafuta ukubwa kwa nguvu na...
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Van Gaal: Waacheni wachezaji, nizomeeni mimi
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-lh0XlJHCBy0/Un-DgWst6FI/AAAAAAAE6Vc/OCboLUxlmB8/s72-c/MMG20389.jpg)
KUTEMBELEA MAKANISA NA SEHEMU ZA IMANI ZA KIJADI — WAACHENI WAJINADI
![](http://1.bp.blogspot.com/-lh0XlJHCBy0/Un-DgWst6FI/AAAAAAAE6Vc/OCboLUxlmB8/s640/MMG20389.jpg)
Niwape mfano- mimi, Leila, ningekuwa nagombea ubunge Tanga iwe mjini; Korogwe; vijijini; jambo la kwanza, hata kabla sijachukua fomu za mgombea na kujaza, ningekwenda kuwaona wazee wa Tanga.
Wazee wa Tanga wapo Waislamu, tena wa usharika wa Sunni; Shia; Bohora; Ansari...
10 years ago
Vijimambo06 Oct
Mzindakaya: Waacheni wananchi waamue wenyewe Katiba mpya
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mzindakaya-October6-2014.jpg)
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya, amewashauri wanaokusudia kuandamana nchi nzima kutopoteza nguvu na muda kwa kuwa uamuzi wote kuhusu Katiba mpya, utaamuliwa na wananchi kupitia kura ya maoni.
Dk. Mzindakaya, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), alikuwa akizungumzia maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba lililohitimisha shughuli zake mjini Dodoma wiki iliyopita.
"Waliosema Katiba itokane na...
10 years ago
MichuziMSIWABUGHUDHI VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI WAACHENI WACHAPE KAZI - DK. MNDOLWA
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kuwabugudhi viongozi waliopo madarakani kwa kuchaguliwa waendelee kuchapa kazi badala ya kuanza kuzihitaji nafasi zao kabla ya wakati.
Mwito huo umetolewa na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama hicho wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Dk. Edmund Mndolwa wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo.
"Wito wangu kwa wanachama wenzangu wenye lengo la kutaka kugombea...
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
UN yalaani mateso ya Wakristo Iraq
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
IS latoa video ya mauaji ya wakristo
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
ISIS inatesa wakristo,OIC
11 years ago
Habarileo15 Jan
Waislamu watakiwa kutolalamikia Wakristo
SHEKHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake watumie fursa wanazopata kuondokana na malalamiko hayo. Akizungumza katika maadhimisho ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), yaliyofanyika kitaifa mkoani Kigoma jana, Mufti Simba alisema chanzo cha malalamiko hayo ni Waislamu kushindwa kujitolea katika mambo mbalimbali ya maendeleo.