MSIWABUGHUDHI VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI WAACHENI WACHAPE KAZI - DK. MNDOLWA
Na Dotto Mwaibale
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kuwabugudhi viongozi waliopo madarakani kwa kuchaguliwa waendelee kuchapa kazi badala ya kuanza kuzihitaji nafasi zao kabla ya wakati.
Mwito huo umetolewa na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama hicho wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Dk. Edmund Mndolwa wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo.
"Wito wangu kwa wanachama wenzangu wenye lengo la kutaka kugombea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAROTWU yataka Madereva wachape kazi.
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV
Chama cha Wafanyakazi Madereva wa Usafirishaji kwa njia Barabarani nchini (TAROTWU) kimewataka madereva wote nchini kupuuza taarifa ya kuwepo kwa mgomo kwa madereva ifikapo Aprili 30 mwaka huu.
Akizungumza na Waandishi Habari Katibu Mkuu wa Chama hicho Salum Abdallah amesema kuwa baadhi ya vyama viliitisha mgomo huo ambao kwao ni...
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Mgogoro EALA umekwisha, wabunge wachape kazi
9 years ago
Habarileo24 Nov
Mbunge awataka wananchi kuacha siasa, wachape kazi
MBUNGE wa Manonga, Seif Gulamali, amewataka watumishi wa serikali katika jimbo hilo kutojihusisha na siasa na badala yake wawahudumie wananchi kutokana na maadili ya kazi zao.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWATAKA VIJANA WACHAPE KAZI NA SI KUKAA VIJIWENI.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiswaga Ng'ombe kuingia kwenye josho katika kijiji cha Nyakwasi, Nyang'hwale mkoani Geita.Kinana aliwapongeza wana kikundi cha Songambele kwa kupambana na magonjwa ya mifugo kwa kujenga josho la kisasa,Pia Ndugu Kinana aliwaasa Vijana kufanya kazi kwa bidii n,a kuacha kukaa vijiweni kupiga sogakwani hakuna njia ya mkato ya maisha,badala yake ni kufanya kazi kwa bidii ikiwemo suala zima la kujiletea maendeleo kama vile kujishughulisha na...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Viongozi Afrika wasibadili katiba kubaki madarakani
10 years ago
Mwananchi06 May
Mbinu mbalimbali za viongozi wa Afrika kung’ang’ania madarakani
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Laicky Gugu: Tuacheni tulio madarakani tufanye kazi
11 years ago
MichuziNIDA IMEUNDWA KWA MUJIBU WA SHERIA NA MAJUKUMU YA NIDA YAPO WAZI HIVYO NEC WAACHENI NIDA WAFANYE KAZI KAMA WALIVYOPANGIWA :WAZIRI CHIKAWE
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Mndolwa asema hana mpango na ubunge
NA MOHAMMED ISSA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Vijijini, Dk. Edmund Mndolwa, amesema hafanyi ziara kwa lengo la kutaka ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini.
Amesema anafanya kazi kama mjumbe wa NEC, kutoka wilaya hiyo na kwamba lengo la ziara zake ni kukijenga Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jana, Dk. Mndolwa alisema hajawahi kufanya kampeni yoyote katika ziara zake hizo na kwamba lengo la ziara zake...