Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro EALA umekwisha, wabunge wachape kazi

Baada ya shughuli za Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kukwama kwa muda mrefu kutokana na kukumbwa na migogoro, ukiwamo wa wabunge kususia vikao wakitaka Spika Margaret Zziwa ajiuzulu, hatimaye juzi walifanikiwa kumng’oa madarakani wakisema amepoteza sifa za kuendelea kushika wadhifa huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAROTWU yataka Madereva wachape kazi.

*Yataka kupuuza matamko ya baadhi ya vyama kuhusiana na  mgomo,Serikali inafanyika Kazi masuala mbalimbali ya Madereva.

Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

Chama cha Wafanyakazi Madereva wa Usafirishaji kwa njia  Barabarani  nchini (TAROTWU) kimewataka  madereva wote nchini kupuuza taarifa ya kuwepo kwa mgomo kwa madereva ifikapo Aprili 30 mwaka huu.

Akizungumza na Waandishi Habari  Katibu Mkuu wa Chama hicho Salum Abdallah amesema kuwa baadhi ya vyama viliitisha mgomo huo ambao kwao ni...

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge awataka wananchi kuacha siasa, wachape kazi

MBUNGE wa Manonga, Seif Gulamali, amewataka watumishi wa serikali katika jimbo hilo kutojihusisha na siasa na badala yake wawahudumie wananchi kutokana na maadili ya kazi zao.

 

9 years ago

GPL

UCHAGUZI UMEKWISHA, SASA TUFANYE KAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete. MUNGU ni mwema kwa sababu sehemu kubwa ya nchi hii tumefanya uchaguzi kwa amani, japokuwa sijapata taarifa za sehemu nyingine kutokana na ukubwa wa nchi yetu, hili ni jambo tulilokuwa tukiliombea. Baada ya kusema hayo nianze kwa kuseme kwamba uchaguzi mkuu ambao ulikuwa ukituweka roho juu sasa umekwisha na tunawapa hongera wote walioshiriki kufanikisha kwa dhati uchaguzi huo na sasa tutakiane heri na...

 

10 years ago

Michuzi

MSIWABUGHUDHI VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI WAACHENI WACHAPE KAZI - DK. MNDOLWA

Na Dotto Mwaibale
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kuwabugudhi viongozi waliopo madarakani kwa kuchaguliwa waendelee kuchapa kazi badala ya kuanza kuzihitaji nafasi zao kabla ya wakati.
Mwito huo umetolewa na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama hicho wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Dk. Edmund Mndolwa wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo.
"Wito wangu kwa wanachama wenzangu wenye lengo la kutaka kugombea...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWATAKA VIJANA WACHAPE KAZI NA SI KUKAA VIJIWENI.


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiswaga Ng'ombe kuingia kwenye josho katika kijiji cha Nyakwasi, Nyang'hwale mkoani Geita.Kinana aliwapongeza wana kikundi cha Songambele kwa kupambana na magonjwa ya mifugo kwa kujenga josho la kisasa,Pia Ndugu Kinana aliwaasa Vijana kufanya kazi kwa bidii n,a kuacha kukaa vijiweni kupiga sogakwani hakuna njia ya mkato ya maisha,badala yake ni kufanya kazi kwa bidii ikiwemo suala zima la kujiletea maendeleo kama vile kujishughulisha na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge la EALA lakumbwa na mgogoro

Bunge la jumuiya ya Afrika mashariki huenda likafungwa iwapo baadhi ya viongozi wakuu wa Afrika mashariki hawataingilia kati .

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge EAC wazika mgogoro

Spika Daniel Kidega BUNGE la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa mwaka mzima na kuahidi kuwatumikia wananchi wa Jumuiya hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wabunge EALA wajadili ushirika

WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya Kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu aibua tena mgogoro na wabunge

Dar es Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameingia katika mvutano na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli baada ya kuliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), kusitisha utaratibu wa kulazimisha watalii kulipa kila waingiapo kwenye hifadhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani