Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la EALA lakumbwa na mgogoro

Bunge la jumuiya ya Afrika mashariki huenda likafungwa iwapo baadhi ya viongozi wakuu wa Afrika mashariki hawataingilia kati .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro EALA umekwisha, wabunge wachape kazi

Baada ya shughuli za Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kukwama kwa muda mrefu kutokana na kukumbwa na migogoro, ukiwamo wa wabunge kususia vikao wakitaka Spika Margaret Zziwa ajiuzulu, hatimaye juzi walifanikiwa kumng’oa madarakani wakisema amepoteza sifa za kuendelea kushika wadhifa huo.

 

11 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro Bunge Maalumu la Katiba

>Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kukutana tena na viongozi wa vyama vya siasa ambavyo ni wanachama wa Kituo cha Demokrasia nchini (TCD), kuna taarifa kwamba huenda Oktoba 4, mwaka huu ikawa siku ya mwisho ya kukutana kwa Bunge Maalumu, linaloendelea na utunzi wa Katiba Mpya mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Mgogoro mpya Bunge la Katiba

Baadhi ya wenyeviti wa Kamati za Bunge la Katiba wamezikataa taarifa za wajumbe walio wachache ambazo wanapaswa kuzisoma leo bungeni, hivyo kuwataka waziandike upya kwa madai kuwa hazijafuata taratibu katika uandishi na zimejaa lugha ya kuudhi.

 

10 years ago

Mwananchi

EALA limekuwa Bunge la watalii?

Kwa muda mrefu sasa, Bunge la Afrika Mashariki (EALA), limekuwa katika mizozo isiyoisha kiasi cha wananchi wengi katika nchi wanachama kuhofia kwamba Bunge hilo litasambaratika.

 

10 years ago

Mwananchi

Posho yalivuruga Bunge la Eala

Wabunge watoro wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) sasa watakatwa posho kwa siku ambazo hawahudhurii vikao.

 

10 years ago

Mwananchi

Akidi yakwamisha Bunge la Eala

Kutotimia kwa akidi ya wabunge wa Rwanda kulisimamisha kwa dakika 15 kikao cha Bunge la Afrika Mashariki (Eala) kilichoanza jana jijini hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge lataka mgogoro Bukoba uishe

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Benadetha Mshashu, ameitaka wizara husika kuhakikisha inasimamia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa uongozi...

 

10 years ago

Mtanzania

Spika wa Bunge EALA ang’olewa

Margaret-ZziwaNA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani