EALA limekuwa Bunge la watalii?
Kwa muda mrefu sasa, Bunge la Afrika Mashariki (EALA), limekuwa katika mizozo isiyoisha kiasi cha wananchi wengi katika nchi wanachama kuhofia kwamba Bunge hilo litasambaratika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Bunge la Katiba limekuwa chini ya kiwango
NI vigumu kuyaandika haya ninayoandika. Lakini wakati mwingine ni afadhali kuzungumza ukweli uwe huru. Ninayoyaandika hadharani yanawezekana yanajadiliwa kimya kimya katika mijadala isiyo rasmi. Ukweli ni kwamba kila anayefikiri sawasawa...
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Posho yalivuruga Bunge la Eala
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Bunge la EALA lakumbwa na mgogoro
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Akidi yakwamisha Bunge la Eala
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Spika wa Bunge EALA ang’olewa
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Spika Bunge la Eala kikaangoni leo Arusha
10 years ago
Mwananchi07 Nov
MAONI: Bunge EALA limesambaratika, nini kifanyike?
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Shyrose Bhanji ‘alivuruga’ Bunge Eala Mashariki