Shyrose Bhanji ‘alivuruga’ Bunge Eala Mashariki
Kwa siku zaidi ya 10 sasa, Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeshindwa kuendelea na vikao vyake mjini hapa kutokana na wabunge wake kugomea vikao hivyo vya mkutano wa pili, wakishinikiza kuchukukuliwa hatua kwanza kwa mmoja wa wabunge wake, Shy-Rose Bhanji wa Tanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Nov
Kikwete kupewa jukumu la kuamua hatma ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Bhanji,
Rais Kikwete anatarajiwa kuchukua Uenyekiti wa EAC baada ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki uliopangwa kufanyika jijini Nairobi, Kenya, Novemba 29 na 30 mwaka huu.
Mwenyekiti wa sasa wa EAC, Rais Uhuru Kenyatta, wa Kenya anamaliza muda wake mwezi huu na Raia Mwema...
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Shyrose Bhanji afunguka ugonjwa unaomsumbua
Mbunge katika bunge la Afrika Mashariki,Shyrose Bhanji amefunguka ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu uliomfanya alazwe katika hospitali ya Agha Khan,jijini Dar.Akizungumza na Clouds Fm, Shyrose alisema kuwa amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Pumu(asthma) kwa muda mrefu tangu akiwa mdogo lakini safari hii ugonjwa ulizidi sana hali iliomfanya kulazwa hospitali kwa siku kadhaa.‘’Huu ugonjwa huwa unanisumbua kwa muda mrefu lakini hadi kufikia hatua ya kulazwa ni safari hii hali ilikuwa mbaya...
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Shyrose Bhanji kuwafariji wasiojiweza,wagonjwa siku ya Wapendanao
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji anatarajia kusherekea na watu wasiojiweza pamoja na kutembelea watu mbalimbali wanaosumbuliwa na magonjwa waliopo hospitalini ili kuonyesha upendo kwao.
Shyrose alibainisha hilo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, wakati wa kujibu maswali kadhaa ya marafiki na jamaa kufuatia post yake ailiyoitupia kuwaomba fans hao kupiga nao...
10 years ago
VijimamboSHYROSE BHANJI MGENI RASMI USIKU WA LADY IN RED 2015
..Kufanyika Nyumbani Lounge Ijumaa Februari 13
Na Andrew Chale
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy rose Bhanji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye usiku maalum wa Lady In Red 2015, Ijumaa ya Februari 13, kwenye ukumbi wa M.O.G Bar (Zamani Nyumbani Lounge) huku mitindo ya nguo nyekundu zitauzwa kwa ajili ya siku ya wapendanao ‘Valentine day’.
Mwaka huu ni wa 11, tokea kuanzishwa kwa Lady in red, ambapo itajumuisha wanamitindo...
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
Mh.Shyrose Bhanji awashukuru wote waliomtakia nafuu alipokuwa amelazwa Hospitalini
Shyrose Bhanji akiwa na Mwanamuziki wa Lady Jay Dee alipomtembelea wakati amelazwa Hospitaali ya Agha Khan, jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Shy-Rose Bhanji. Aliyekuwa amelezwa hivi karibuni katika hospitali ya Agha Khan, jijni Dar es Salaam amewashukuru watu mbalimbali kwa nafasi zao ikiwemo kumjulia hali ha kumtakia pole wakati alipokuwa amelazwa hospitali kwa siku nne.
Kupitia mtando wake wa kijamii Shyrose alitumia wasaha huo...
11 years ago
MichuziWABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPLMKUTANO BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KUFANYIKA DAR AGOSTI 27
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Tamko la wabunge Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki EALA — TZ
Mwenyekiti wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Adam Kimbisa akitoa tamko la wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu sakata la kumvua madaraka spika wa bunge hilo wakati wa Mkutano uliofanyika katikamukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO).Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Assah Mwambene.
Katibu wa wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mh. Shy-rose Bhanji akieleza...