Shyrose Bhanji kuwafariji wasiojiweza,wagonjwa siku ya Wapendanao
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji.
Na Andrew Chale, modewjiblog
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shyrose Bhanji anatarajia kusherekea na watu wasiojiweza pamoja na kutembelea watu mbalimbali wanaosumbuliwa na magonjwa waliopo hospitalini ili kuonyesha upendo kwao.
Shyrose alibainisha hilo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, wakati wa kujibu maswali kadhaa ya marafiki na jamaa kufuatia post yake ailiyoitupia kuwaomba fans hao kupiga nao...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Shyrose Bhanji afunguka ugonjwa unaomsumbua
Mbunge katika bunge la Afrika Mashariki,Shyrose Bhanji amefunguka ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu uliomfanya alazwe katika hospitali ya Agha Khan,jijini Dar.
Akizungumza na Clouds Fm, Shyrose alisema kuwa amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Pumu(asthma) kwa muda mrefu tangu akiwa mdogo lakini safari hii ugonjwa ulizidi sana hali iliomfanya kulazwa hospitali kwa siku kadhaa.
‘’Huu ugonjwa huwa unanisumbua kwa muda mrefu lakini hadi kufikia hatua ya kulazwa ni safari hii hali ilikuwa mbaya...
11 years ago
Mwananchi30 Oct
Shyrose Bhanji ‘alivuruga’ Bunge Eala Mashariki
10 years ago
Vijimambo09 Mar
WADAU WA MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA WAJITOA KUWAFARIJI WAZEE WASIOJIWEZA

10 years ago
Vijimambo
SHYROSE BHANJI MGENI RASMI USIKU WA LADY IN RED 2015

..Kufanyika Nyumbani Lounge Ijumaa Februari 13
Na Andrew Chale
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy rose Bhanji anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye usiku maalum wa Lady In Red 2015, Ijumaa ya Februari 13, kwenye ukumbi wa M.O.G Bar (Zamani Nyumbani Lounge) huku mitindo ya nguo nyekundu zitauzwa kwa ajili ya siku ya wapendanao ‘Valentine day’.
Mwaka huu ni wa 11, tokea kuanzishwa kwa Lady in red, ambapo itajumuisha wanamitindo...
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
Mh.Shyrose Bhanji awashukuru wote waliomtakia nafuu alipokuwa amelazwa Hospitalini
Shyrose Bhanji akiwa na Mwanamuziki wa Lady Jay Dee alipomtembelea wakati amelazwa Hospitaali ya Agha Khan, jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Shy-Rose Bhanji. Aliyekuwa amelezwa hivi karibuni katika hospitali ya Agha Khan, jijni Dar es Salaam amewashukuru watu mbalimbali kwa nafasi zao ikiwemo kumjulia hali ha kumtakia pole wakati alipokuwa amelazwa hospitali kwa siku nne.
Kupitia mtando wake wa kijamii Shyrose alitumia wasaha huo...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi.jpg)
Maalim Seif Sharif Hamad atembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa Pemba
9 years ago
Michuzi
UVCCM MKOA WA KIGOMA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA MKOA NA KUWAFARIJI WAGONJWA.



Mbunge wa viti maalum kupitia umoja wa vijana Zainabu Katibu akiwafariji watoto waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma
Na Editha Karlo wa blog ya jamii, KigomaUmoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma(UVCCM) wamefanya usafi katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) sambamba na kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika wodi mbalimbali hospitalini hapo.
Akiongea na waandishi wa habari...