Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI UMEKWISHA, SASA TUFANYE KAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete. MUNGU ni mwema kwa sababu sehemu kubwa ya nchi hii tumefanya uchaguzi kwa amani, japokuwa sijapata taarifa za sehemu nyingine kutokana na ukubwa wa nchi yetu, hili ni jambo tulilokuwa tukiliombea. Baada ya kusema hayo nianze kwa kuseme kwamba uchaguzi mkuu ambao ulikuwa ukituweka roho juu sasa umekwisha na tunawapa hongera wote walioshiriki kufanikisha kwa dhati uchaguzi huo na sasa tutakiane heri na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro EALA umekwisha, wabunge wachape kazi

Baada ya shughuli za Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kukwama kwa muda mrefu kutokana na kukumbwa na migogoro, ukiwamo wa wabunge kususia vikao wakitaka Spika Margaret Zziwa ajiuzulu, hatimaye juzi walifanikiwa kumng’oa madarakani wakisema amepoteza sifa za kuendelea kushika wadhifa huo.

 

9 years ago

Raia Mwema

Uchaguzi umekwisha, utafiti wangu umekaribia ukweli

TAFITI nyingi zimefayika juu ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Privatus Karugendo

 

10 years ago

Mwananchi

Sasa kazi ni moja tu, kudai Tume Huru ya Uchaguzi ili haki itendeke

Tunapouanza mwaka 2015 tujue kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu kwa wabunge, madiwani pamoja na rais.

 

10 years ago

GPL

2015 TUPUNGUZE SIASA, TUFANYE KAZI

Waziri mkuu Mizengo Pinda. LEO ni siku ya pili tangu tumeanza mwaka 2015, ambao utakuwa na pilikapilika nyingi, pengine kuliko ilivyokuwa mwaka uliopita. Ni jambo la kushukuru Mungu kwamba tumefanikiwa kufika salama, kwa wale ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki, walio majeruhi na wagonjwa, tuwaombee kila dakika. Tumeumaliza mwaka 2014 tukiwa na stress kubwa, maana mambo mengi ya kisiasa yalituachia makovu yasiyofutika, lakini...

 

10 years ago

Mwananchi

Laicky Gugu: Tuacheni tulio madarakani tufanye kazi

Kwa kawaida katika siasa kila chama huwa na ilani na sera zinazokiongoza kufikia kwenye malengo yake. Mara nyingi sera na ilani hizo huwa ni dira inayotumika kuelezea dhamira sahihi inayopaswa kuwakilishwa na wanachama wake wakilenga kuleta maendeleo na wakati mwingine kuzidi kukubalika.

 

11 years ago

Habarileo

Tufanye kazi, Watanzania wana matarajio makubwa—Muhongo

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameeleza kuwa Watanzania wana matarajio makubwa kutokana na kugunduliwa kwa hazina kubwa ya gesi katika maeneo ya kina kirefu cha bahari.

 

10 years ago

Michuzi

AG MASAJU: WATUMISHI WA UMMA TUFANYE KAZI KWA UZALENDO

Na Mwandishi Wetu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju amewakumbusha watumishi wa umma katika sekta ya sheria kufanya kazi kwa ushirikiano na uzalendo ili kulinda maslahi ya taifa.
Bw. Masaju, ambaye ameteuliwa na kuapishwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo, amefafanua kuwa watumishi wa umma wanapozingatia uzalendo katika utendaji wao, wanapata nguvu ya kusimama na kukemea maovu.
Bw. Masaju ameyasema hayo leo (Jumatano, Januari 7, 2015) jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Tufanye uchaguzi kwa muda mwafaka na amani

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema alitoa neno zito! Ingawa ni maoni yake lakini kusema kweli masihara mengine si mazuri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani