Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAROTWU yataka Madereva wachape kazi.

*Yataka kupuuza matamko ya baadhi ya vyama kuhusiana na  mgomo,Serikali inafanyika Kazi masuala mbalimbali ya Madereva.

Na Chalila Kibuda,Michuzi TV

Chama cha Wafanyakazi Madereva wa Usafirishaji kwa njia  Barabarani  nchini (TAROTWU) kimewataka  madereva wote nchini kupuuza taarifa ya kuwepo kwa mgomo kwa madereva ifikapo Aprili 30 mwaka huu.

Akizungumza na Waandishi Habari  Katibu Mkuu wa Chama hicho Salum Abdallah amesema kuwa baadhi ya vyama viliitisha mgomo huo ambao kwao ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mgogoro EALA umekwisha, wabunge wachape kazi

Baada ya shughuli za Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kukwama kwa muda mrefu kutokana na kukumbwa na migogoro, ukiwamo wa wabunge kususia vikao wakitaka Spika Margaret Zziwa ajiuzulu, hatimaye juzi walifanikiwa kumng’oa madarakani wakisema amepoteza sifa za kuendelea kushika wadhifa huo.

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge awataka wananchi kuacha siasa, wachape kazi

MBUNGE wa Manonga, Seif Gulamali, amewataka watumishi wa serikali katika jimbo hilo kutojihusisha na siasa na badala yake wawahudumie wananchi kutokana na maadili ya kazi zao.

 

10 years ago

Michuzi

MSIWABUGHUDHI VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI WAACHENI WACHAPE KAZI - DK. MNDOLWA

Na Dotto Mwaibale
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kuwabugudhi viongozi waliopo madarakani kwa kuchaguliwa waendelee kuchapa kazi badala ya kuanza kuzihitaji nafasi zao kabla ya wakati.
Mwito huo umetolewa na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama hicho wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Dk. Edmund Mndolwa wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo.
"Wito wangu kwa wanachama wenzangu wenye lengo la kutaka kugombea...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWATAKA VIJANA WACHAPE KAZI NA SI KUKAA VIJIWENI.


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiswaga Ng'ombe kuingia kwenye josho katika kijiji cha Nyakwasi, Nyang'hwale mkoani Geita.Kinana aliwapongeza wana kikundi cha Songambele kwa kupambana na magonjwa ya mifugo kwa kujenga josho la kisasa,Pia Ndugu Kinana aliwaasa Vijana kufanya kazi kwa bidii n,a kuacha kukaa vijiweni kupiga sogakwani hakuna njia ya mkato ya maisha,badala yake ni kufanya kazi kwa bidii ikiwemo suala zima la kujiletea maendeleo kama vile kujishughulisha na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kamati yataka Blatter asimamishwe kazi

Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza rais wa shirikisho la soka duniani FIFA asimamishwe kazi kwa siku tisini.

 

9 years ago

Habarileo

CCM Songea yataka kazi bila mazoea

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Songea mkoani Ruvuma, kimewataka watumishi wa Serikali kufanya kazi kikamilifu ili kuharakisha maendeleo.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yataka vijana kuchapa kazi kwa bidii

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante ole GabrielSERIKALI imewataka vijana kuchapa kazi kwa bidii ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii wanazoishi ikizingatiwa kwamba asilimia 75 ya nguvu kazi ya taifa ni vijana.

 

9 years ago

Mwananchi

NYANZA: ATE yataka ‘Hapa Kazi Tu’ hadi sekta binafsi

Chama cha Waajiri TAnzania (ATE) kimesema kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’ inatakiwa kuwafikia wafanyakazi wa sekta binafsi badala ya watumishi wa umma pekee ili wabadike na kuleta maendeleo nchini.

 

10 years ago

Dewji Blog

UN yataka serikali kufanyia kazi mianya inayotishia haki za binadamu

DSC_0102

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bibi Mary Massay akitambulisha meza kuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya haki za binadamu yaliyoenda sambamba  na mkutano wa kujadili utekezaji wa makubaliano ya haki za binadamu nchini na maandalizi ya ripoti ijayo yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog). 

Na Mwandishi  wetu

MRATIBU Mkazi  wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani