Nyalandu aibua tena mgogoro na wabunge
Dar es Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ameingia katika mvutano na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli baada ya kuliagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), kusitisha utaratibu wa kulazimisha watalii kulipa kila waingiapo kwenye hifadhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Nyalandu amaliza mgogoro Mbarali
NA ELIUD NGONDO, MBEYA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu karibu miaka 10 wilayani Mbarali, mkoani Mbeya.
Mgogoro huo unahusisha wakazi wa vijiji 21 waliotakiwa kuondolewa kwa madai ya kuvamia eneo la Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Nyalandu, ambaye yuko ziarani mkoani Mbeya, jana alizungumza na wananchi na kuwahakikishia kuwa Serikali haiwezi kuwaacha wakiangamia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na wakazi zaidi ya 15,000,...
10 years ago
Habarileo20 Jan
Wabunge EAC wazika mgogoro
BUNGE la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza rasmi kumalizika kwa mgogoro uliodumu kwa mwaka mzima na kuahidi kuwatumikia wananchi wa Jumuiya hiyo.
10 years ago
Dewji Blog30 Jul
Maziku amaliza mgogoro wa Nyalandu na wenzake, waendelea na mchakato kuomba kura kwa wananchi
Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza mgogoro wa wagombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini.
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Mary Maziku akiwa ofisini kwake.
Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini, Jastine Monko akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la CCM Mkoa wa Singida baada ya kumaliza tofauti zao.
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari nje ya viwanja vya CCM Mkoa wa...
10 years ago
MichuziNYALANDU ATINGA LOLIONDO KUJADILIANA NA MADIWANI KUHUSIANA NA MGOGORO WA ARDHI KATIKA MAENO HAYO
10 years ago
Mwananchi29 May
BAJETI: Wabunge wamshukia Nyalandu
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Mgogoro EALA umekwisha, wabunge wachape kazi
10 years ago
Mtanzania29 May
Wabunge wampa kibano Waziri Nyalandu
Na Khamis Mkotya, Dodoma
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya wabunge wengi kushutumu utendaji wake wakisema umekuwa chanzo cha wizara hiyo kuzorota katika maendeleo.
Kwa mujibu wa wabunge hao, kitendo cha waziri huyo kushindwa kutekeleza agizo la mahakama kuhusu tozo mpya katika hoteli za utalii kimefanya Serikali kupoteza zaidi ya Sh bilioni 20 kila mwaka.
Wabunge hao pia walishangazwa na kitendo cha wizara hiyo kulazimisha mfumo wa...
10 years ago
VijimamboWabunge wamtia moyo Nyalandu kuhusu shutuma
Wabunge wa Kanda ya Kaskazini wamemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutovunjika moyo kutokana na kauli za baadhi ya watu wanaoushutumu utendaji wake.
Wakizungumza katika mkutano wa viongozi wa mikoa ya Arusha na Kilimanajaro, wabunge hao wamesema wanaomuandama wana kinyongo na utendaji wake.
Wabunge hao ni Aggrey...