Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waislamu watakiwa kutolalamikia Wakristo

SHEKHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake watumie fursa wanazopata kuondokana na malalamiko hayo. Akizungumza katika maadhimisho ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), yaliyofanyika kitaifa mkoani Kigoma jana, Mufti Simba alisema chanzo cha malalamiko hayo ni Waislamu kushindwa kujitolea katika mambo mbalimbali ya maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Waislamu waokoa wakristo waliotekwa na Alshabab

Abiria wa kiislamu waliwalinda wenzao wakristo kwa kukataa kugawanywa kwa makundi basi lao lilipotekwa na wapiganaji wa Al shaabab

 

9 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab: Wanawake waislamu waliwafunika Hijab wakristo

Abiria aliyenusurika shambulizi la Al shabaab ameiambia BBC kuwa wanawake waislamu walivua hijab na kuwastiri wanawake wakristu iliwasiuawe.

 

10 years ago

Habarileo

Wakristo watakiwa kuombea Jeshi la Polisi

WAKRISTO nchini wametakiwa wakati wakiadhimisha sikukuu ya kufufuka Yesu Kristo (Pasaka) waliombee Jeshi la Polisi ili wasifanyiwe vitendo vya kinyama na baadhi ya watu wenye nia mbaya na nchi.

 

11 years ago

Mtanzania

Waislamu watakiwa kulinda amani

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal

MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.

Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.

Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...

 

10 years ago

Habarileo

Waislamu watakiwa kuwa na subira

Sadiki Godigodi WAISLAMU wametakiwa kuwa na subira wakati viongozi waliopewa dhamana ya kulifuatilia suala la Mahakama ya Kadhi wakifuatilia majibu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waislamu Uingereza watakiwa kufungua mapema

Kiongozi wa kidini nchini Uingereza anasema kuwa waislamu nchini humo wanapaswa kupunguza muda wanaofunga ramadhan kwani muda wao unazidi saa 19.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata

TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...

 

11 years ago

Mtanzania

Waislamu watakiwa kujiandaa Uchaguzi Mkuu 2015

Sheikh Rajabu Katimba

Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kujiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa kujiandikisha upya katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linaloanza Septemba, mwaka huu.

Amesema kufanya hivyo kutawasaidia kufanya maamuzi sahihi dhidi ya viongozi wanaowakwamisha kwa kuwaadhibu kupitia masanduku ya kura.

Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam juzi katika Baraza la Idd,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Picha za mauaji ya wakristo Pakistan

Pakistan wamekusanyika kwa maziko ya waathiriwa wa mauaji ya siku ya jumapili yanayoaminiwa kufanywa na wanamgambo wa Taliban

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani