Waislamu watakiwa kuwa na subira
WAISLAMU wametakiwa kuwa na subira wakati viongozi waliopewa dhamana ya kulifuatilia suala la Mahakama ya Kadhi wakifuatilia majibu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jan
Waislamu watakiwa kutolalamikia Wakristo
SHEKHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake watumie fursa wanazopata kuondokana na malalamiko hayo. Akizungumza katika maadhimisho ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), yaliyofanyika kitaifa mkoani Kigoma jana, Mufti Simba alisema chanzo cha malalamiko hayo ni Waislamu kushindwa kujitolea katika mambo mbalimbali ya maendeleo.
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Waislamu watakiwa kulinda amani
![Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Mohamed-Gharib-Bilal.jpg)
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.
Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Waislamu Uingereza watakiwa kufungua mapema
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata
TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Waislamu watakiwa kujiandaa Uchaguzi Mkuu 2015
![Sheikh Rajabu Katimba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Sheikh-Rajabu-Katimba1.jpg)
Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kujiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa kujiandikisha upya katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linaloanza Septemba, mwaka huu.
Amesema kufanya hivyo kutawasaidia kufanya maamuzi sahihi dhidi ya viongozi wanaowakwamisha kwa kuwaadhibu kupitia masanduku ya kura.
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam juzi katika Baraza la Idd,...
10 years ago
Habarileo24 Feb
Wasomi watakiwa kuwa makini
VIJANA wasomi nchini wametakiwa kutokuwa chambo na kutumiwa na baadhi ya wanasiasa wenye uchu wa kutaka madaraka ya nchi bali wawaepuke hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Wataalam watakiwa kuwa wabunifu
Waatalamu wa Sekta za Nishati na Madini, wametakiwa kuwa wabunifu katika maandalizi na usimamizi wa miradi ili sekta hizo ziwe na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Wito...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Wabunge watakiwa kuwa wazalendo
CHAMA cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), kimewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa wazalendo wa kuzipigania tunu za...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SNES_kOOpkA/Vg0GANaIzCI/AAAAAAAH8FE/D8x_tgDx90M/s72-c/meck-sadick-jan10-2014.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MERCK SADICK ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAISLAMU WA AHMADIYYA KUANZA KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-SNES_kOOpkA/Vg0GANaIzCI/AAAAAAAH8FE/D8x_tgDx90M/s320/meck-sadick-jan10-2014.jpg)
Hayo yamesemwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Sheikh Tahir amesema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kukumbushana misingi sahihi ya...