Waislamu Uingereza watakiwa kufungua mapema
Kiongozi wa kidini nchini Uingereza anasema kuwa waislamu nchini humo wanapaswa kupunguza muda wanaofunga ramadhan kwani muda wao unazidi saa 19.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Jan
Waislamu watakiwa kuwa na subira
WAISLAMU wametakiwa kuwa na subira wakati viongozi waliopewa dhamana ya kulifuatilia suala la Mahakama ya Kadhi wakifuatilia majibu.
11 years ago
Habarileo15 Jan
Waislamu watakiwa kutolalamikia Wakristo
SHEKHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba, ametaka Waislamu kuacha kulalamika, kwamba Wakristo wamekuwa wakipewa upendeleo, badala yake watumie fursa wanazopata kuondokana na malalamiko hayo. Akizungumza katika maadhimisho ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), yaliyofanyika kitaifa mkoani Kigoma jana, Mufti Simba alisema chanzo cha malalamiko hayo ni Waislamu kushindwa kujitolea katika mambo mbalimbali ya maendeleo.
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Waislamu watakiwa kulinda amani

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.
Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Waislamu watakiwa kuiunga mkono Bakwata
TAASISI ya Tanzania Islamic Peace Foundation (TIPF) imewataka Waislamu kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata). Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Sheikh Sadiki...
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Waislamu watakiwa kujiandaa Uchaguzi Mkuu 2015

Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
WAUMINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kujiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa kujiandikisha upya katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linaloanza Septemba, mwaka huu.
Amesema kufanya hivyo kutawasaidia kufanya maamuzi sahihi dhidi ya viongozi wanaowakwamisha kwa kuwaadhibu kupitia masanduku ya kura.
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam juzi katika Baraza la Idd,...
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
La Marseillaise kufungua mechi Uingereza
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
Iran na Uingereza kufungua balozi zao
11 years ago
Mwananchi13 May
Wajasiriamali watakiwa kufungua akaunti ACB
5 years ago
Michuzi
WANAWAKE WENYE TATIZO LA FISTULA WATAKIWA KWENDA KUPATA MATIBABU MAPEMA

Wanawake wenye matatizo ya Fistula nchini wametakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake wametakiwa kwenda kupata matibabu katika Hospitali zilizoainishwa na Serikali bila gharama yeyote.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akiongea na Waandishi wa Habari katika kuadhimisha siku ya Fistula duniani inayoadhimishwa tarehe 23 Mwezi Mei kila Mwaka, yenye kauli mbiu mwaka huu inayosema “Tokomeza...