Iran na Uingereza kufungua balozi zao
Uingereza na Iran zinatarajiwa kufungua balozi zao licha ya kuwepo uhusiano mbaya katika ya Iran na nchi za Magharibi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
La Marseillaise kufungua mechi Uingereza
Wimbo wa taifa wa Ufaransa, La Marseillaise, utachezwa kabla ya mechi zote za Ligi ya Premia wikendi hii kuanza.
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Waislamu Uingereza watakiwa kufungua mapema
Kiongozi wa kidini nchini Uingereza anasema kuwa waislamu nchini humo wanapaswa kupunguza muda wanaofunga ramadhan kwani muda wao unazidi saa 19.
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
Iran yasifu uhusiano na Uingereza kurudi
Baada ya Iran na Uingereza kufungua balozi zao tena, Iran yasema maingiliano sasa ni ya kuheshimiana
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, jijini London mwishoni mwa juma. Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Ombeni Sefue, akizungumza na Maafisa wa Ubalozi, alipotembelea Ubalozini hapo. Mheshimiwa Katibu Kiongozi alikuwa nchini Uingereza katika Ziara yake ya kikazi ambayo iliandaliwa na Taasisi ya ESAMI kuhudhuria semina ambayo ilikuwa na lengo la kuwakutanisha Viongozi wa Vyama vya Siasa na Watendaji wa...
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona
Misikiti kote nchini Iran imepangiwa kufunguliwa Jumanne hatua inayowadia licha ya kwamba baadhi ya maeneo bado yanaathirika vibaya na janga la virusi vya corona.
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Marekani na Cuba kufungua balozi
Kila nchi imekubali kufungua afisi ya ubalozi katika miji mikuu yao.Ni hatua kubwa katika kurejesha uhusiano kati pande mbili
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Balozi Idd kufungua Sabasaba leo
>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idd atafungua Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
11 years ago
BBCSwahili12 Apr
Iran haitabadili balozi wake katika UN
Iran imesema inashikilia balozi wake mpya katika Umoja wa Mataifa ndiye inayomtaka, ingawa Marekani haitaki kumpa visa
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Kuwait yamuondoa balozi wake Iran
Kuwait imetangaza kwamba inamuondoa balozi wake kutoka Iran huku mvutano kuhusu kuuawa kwa mhubiri wa Kishia Saudia ukizidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania