Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAWAKE WENYE TATIZO LA FISTULA WATAKIWA KWENDA KUPATA MATIBABU MAPEMA

Na WAMJW-Dodoma.
Wanawake wenye matatizo ya Fistula nchini wametakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake wametakiwa kwenda kupata matibabu katika Hospitali zilizoainishwa na Serikali bila gharama yeyote.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akiongea na Waandishi wa Habari katika kuadhimisha siku ya Fistula duniani inayoadhimishwa tarehe 23 Mwezi Mei kila Mwaka, yenye kauli mbiu mwaka huu inayosema “Tokomeza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WENYE UGONJWA WA FISTULA KUJITOKEZA NA KWENDA KUPATA MATIBABU

Na Anna Nkinda – Maelezo aliyekuwa Lindi
Wanawake wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze  hadharani kwa kwenda Hospitali kupata matibabu  au kuwaambia viongozi wao ili waweze kuwasaidia kwani ugonjwa huo unatibika na matibabu yake ni bure.
Rai hiyo imetolewa  hivi karibuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa...

 

10 years ago

GPL

TATIZO NI WANAWAKE WENYE MSHIKO AU WALIOTESWA?

Kuna tatizo moja la msingi sana limekuwa likisemwa kuhusu uhusiano wa kimapenzi na wanawake wenye uwezo wa kifedha, kwamba mapenzi yao mara nyingi yamejaa dharau. Sina uhakika na hili ndiyo maana nimeuliza hapo juu, lakini katika maisha halisi, zipo dalili za ukweli zinazoakisi jambo hili, hasa kutokana na uzoefu wa maisha ya kibantu yalivyo. Katika jamii yetu, tumeukuta utamaduni wa mwanamke kuwa tegemezi kwa mwanaume, kwamba...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUACHA UOGA NA BADALA YAKE WAPAMBANE KUPATA FURSA ZA KIELIMU, KISIASA NA KIUCHUMI


Charles James, Michuzi TV

WANAWAKE nchini wametakiwa kuacha uoga katika mapambano ya kutafuta fursa za kielimu, uchumi au kisiasa na badala yake wajikite katika kupigania haki yao hasa ya usawa wa jinsia.

Pia wametakiwa kufahamu kwamba hakuna mtu mwingine ambaye atakuja kupigania haki ya mwanamke zaidi ya wanawake wenyewe na wasipofanya hivyo nafasi za kiuongozi watabaki kuzisikia tu.

Hayo yamesemwa na Spika Mstaafu wa Bunge, Mama Anne Makinda jijini Dodoma wakati akizindua kongamano la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Text to treatment’ yasaidia wenye fistula

  HUDUMA ya matibabu kwa njia ya simu ya mkononi ‘Text to Treatment’ inayotolewa kwa ushirikiano baina ya Kampuni ya Vodacom Tanzania na taasisi isiyo ya kiserikali ya CCBRT katika...

 

9 years ago

Michuzi

WANAOSUMBULIWA NA MARADHI YA FISTULA WATAKIWA KUJITOKEZA WATIBIWE BURE

  Kaimu Ofisa mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) akizungumza na baadhi ya wakina mama wanaotibiwa maradhi ya Fistula katika hospitali ya CCBRT wakati bodi ya Vodacom Foundation ilipowatembelea hospitalini hapo ili kujua maendeleo yao ya kiafya. Mfuko huo unawawezesha akina mama kusafirishwa kutoka mikoani kwa kutumiwa pesa za kuja kutibiwa hospitalini hapo kupitia huduma ya M-PESA. Bi.Muhoja Masano anayepatiwa matibabu ya maradhi ya Fistula katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waislamu Uingereza watakiwa kufungua mapema

Kiongozi wa kidini nchini Uingereza anasema kuwa waislamu nchini humo wanapaswa kupunguza muda wanaofunga ramadhan kwani muda wao unazidi saa 19.

 

9 years ago

MillardAyo

Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)

Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips  wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani