Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAOSUMBULIWA NA MARADHI YA FISTULA WATAKIWA KUJITOKEZA WATIBIWE BURE

  Kaimu Ofisa mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) akizungumza na baadhi ya wakina mama wanaotibiwa maradhi ya Fistula katika hospitali ya CCBRT wakati bodi ya Vodacom Foundation ilipowatembelea hospitalini hapo ili kujua maendeleo yao ya kiafya. Mfuko huo unawawezesha akina mama kusafirishwa kutoka mikoani kwa kutumiwa pesa za kuja kutibiwa hospitalini hapo kupitia huduma ya M-PESA. Bi.Muhoja Masano anayepatiwa matibabu ya maradhi ya Fistula katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania waaswa kujitokeza katika harambee ya kuchangia wanahabari wanaosumbuliwa na magonjwa sugu

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya kuratibu Harambee ya kuwachangia waandishi wa habari wanaougua maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa sugu wa saratani Bw. Benjamin Thompson Kasenyenda akitoa wito kwa watanzania wote wenye mapenzi mema kujitokeza kwa wingi kushiriki katika harambee hiyo itakayofanyika katika viwanja vya Leaders club,siku ya Jumamosi Julai 4,2015 wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YATUA WILAYA YA KIBONDO

Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kumwamba iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma walijumwika na wakazi wa wilaya hiyo katika viwanja vya Community Centre wakimsiliza Meneja Biashara wa Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon wakati alipokuwa akiwafafanulia jambo kuhusiana na maradhi ya Fistula. Wakati wa kampeni ya kutokomeza maradhi hayo inayoendelea kufanyika katika mikoa mitatu nchini,Kampeni hiyo inaendeshwa na Hospitali ya CCRBT kwa kushirikiana na Vodacom Foundation....

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YATUA WILAYANI UVINZA

 Umati wa wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma wakiwa kwenye mkutano wa  kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya  Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation  inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina baba kuwaruhusu wakina mama wajitokeze  ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa ni  wastani ya wanawake 3,000...

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA WANAWAKE 2500 KWA MWAKA HUPATWA NA MARADHI YA FISTULA

 Baadhi ya  wakazi wa Kata ya Nyakanazi  Wilaya ya Biharamulo  mkoani Kagera  wakiwa kwenye mkutano wa  kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na Fistula inayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kwa kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation  imezinduliwa mwishoni mwa wiki na itafanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa kwa mwaka wastani ya...

 

10 years ago

GPL

KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YAENDELEA WILAYANI UVINZA-KIGOMA

Wakazi wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wakimsikiliza kwa makini  Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon (wapili kutoka kushoto ) alipokuwa akiwafafanulia jambo wakina baba hao kuhusiana na kampeni inayoendelea katika mikoa mitatu nchini ya kuelimisha  wakina baba na wananchi kwa ujumla kuwaruhusu wakina mama wajitokeze  ili wakatibiwe maradhi fistula kwani yanatibika, Inakadiriwa ni wastani ya...

 

10 years ago

GPL

ZAIDI YA WANAWAKE 2500 KWA MWAKA HUPATWA NA MARADHI YA FISTULA‏

Baadhi ya  wakazi wa Kata ya Nyakanazi  Wilaya ya Biharamulo  mkoani Kagera  wakiwa kwenye mkutano wa  kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na Fistula inayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation  imezinduliwa mwishoni mwa wiki na itafanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina mama kujitokeza...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WENYE UGONJWA WA FISTULA KUJITOKEZA NA KWENDA KUPATA MATIBABU

Na Anna Nkinda – Maelezo aliyekuwa Lindi
Wanawake wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze  hadharani kwa kwenda Hospitali kupata matibabu  au kuwaambia viongozi wao ili waweze kuwasaidia kwani ugonjwa huo unatibika na matibabu yake ni bure.
Rai hiyo imetolewa  hivi karibuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

75% hawajui kama Fistula inatibiwa bure

IMEBAINIKA kuwa asilimia 75 ya wanawake jijini Dar es Salaam, hawajui kwamba matibabu ya Fistula hutolewa bure. Hayo yalibainika juzi wakati wa mahojiano kati ya Tanzania  Daima Jumapili na wanawake...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa Wilaya Igunga awaambia wananchi “Chonde chonde fichueni wanaoficha wenye maradhi ya Fistula”

Wakazi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Zipporah Pangani, alipokuwa akiwaelewesha juu ya maradhi ya Fistula wakati wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi hayo wilayani humo.Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wanaume kuwaruhusu akina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani