KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YATUA WILAYANI UVINZA

Umati wa wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma wakiwa kwenye mkutano wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina baba kuwaruhusu wakina mama wajitokeze ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa ni wastani ya wanawake 3,000...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YAENDELEA WILAYANI UVINZA-KIGOMA
10 years ago
MichuziKAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YATUA WILAYA YA KIBONDO
9 years ago
Michuzi
WANAOSUMBULIWA NA MARADHI YA FISTULA WATAKIWA KUJITOKEZA WATIBIWE BURE


10 years ago
Michuzi
ZAIDI YA WANAWAKE 2500 KWA MWAKA HUPATWA NA MARADHI YA FISTULA

10 years ago
GPL
ZAIDI YA WANAWAKE 2500 KWA MWAKA HUPATWA NA MARADHI YA FISTULA
10 years ago
Michuzi.jpg)
uzinduzi wa siku ya chanjo mbalimbali kwa watoto wilayani uvinza, kigoma
10 years ago
MichuziMkuu wa Wilaya Igunga awaambia wananchi “Chonde chonde fichueni wanaoficha wenye maradhi ya Fistula”
10 years ago
GPLMKUU WA WILAYA IGUNGA AWAAMBIA WANANCHI “CHONDE CHONDE FICHUENI WANAOFICHA WENYE MARADHI YA FISTULA”
11 years ago
GPL
SHIGONGO ASISITIZA KAMPENI YA KUTOKOMEZA HOMA YA INI