Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waacheni waulilie urais 2015, watanyamaza

MTOTO akililia wembe mpe, ukimkata atauacha. Hakuna ambaye amefika hapo alipo bila kukumbwa na mikasa au misukosuko ya hatari wakati akiwa mtoto kwa lengo la kuutafuta ukubwa kwa nguvu na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Kane: Wabaya wangu watanyamaza

harry-kane-spursLONDON, ENGLAND

BAADA ya mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane kucheza michezo sita ya Ligi Kuu nchini England msimu huu bila kupachika bao, hatimaye mwishoni mwa wiki iliyopita alifanikiwa kupata bao lake la kwanza na kusema kuwa wabaya wake watanyamaza.

Kane alifanikiwa kupachika bao moja katika ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Manchester City, mchezaji huyo amesema watu walikuwa na maneno mengi kutokana na mchezaji huyo kushindwa kupata bao katika michezo ya mwanzo, lakini sasa watanyamaza...

 

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

10 years ago

Habarileo

Pengo: Waacheni Wakristo wajiamulie

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo“MAASKOFU hatuna mamlaka ya kuwaamulia au kuwalazimisha waumini wetu wafanye uamuzi gani kuhusu Katiba. Kuwaamulia ni kuwadharau kuwa hawawezi kufanya uamuzi sahihi wao wenyewe na kuingilia uhuru wao. “Waraka huu unaleta utengano katika taifa kuwa Wakristo tumechukua uamuzi dhidi ya Serikali na wengine....Tuwaache waumini wafanye uamuzi kwa tafakari yao binafsi bila shinikizo letu…”

 

9 years ago

BBCSwahili

Van Gaal: Waacheni wachezaji, nizomeeni mimi

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amewaambia mashabiki wamzomee na kumkosoa yeye badala ya wachezaji.

 

9 years ago

Vijimambo

KUTEMBELEA MAKANISA NA SEHEMU ZA IMANI ZA KIJADI — WAACHENI WAJINADI

Kwenye siasa, hasa wakati wa uchaguzi, hilo, la kushawishi kura haliepukiki, yaani kupita kwenye mahekalu na kushawishi kupigiwa kura, labda tuseme, wagombea wapite kwenye madhehebu yote, ambacho nahisi ndicho kitakachofanyika.

Niwape mfano- mimi, Leila, ningekuwa nagombea ubunge Tanga iwe mjini; Korogwe; vijijini; jambo la kwanza, hata kabla sijachukua fomu za mgombea na kujaza, ningekwenda kuwaona wazee wa Tanga.

Wazee wa Tanga wapo Waislamu, tena wa usharika wa Sunni; Shia; Bohora; Ansari...

 

10 years ago

Vijimambo

Mzindakaya: Waacheni wananchi waamue wenyewe Katiba mpya

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya, amewashauri wanaokusudia kuandamana nchi nzima kutopoteza nguvu na muda kwa kuwa uamuzi wote kuhusu Katiba mpya, utaamuliwa na wananchi kupitia kura ya maoni.

Dk. Mzindakaya, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), alikuwa akizungumzia maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba lililohitimisha shughuli zake mjini Dodoma wiki iliyopita.

"Waliosema Katiba itokane na...

 

10 years ago

Michuzi

MSIWABUGHUDHI VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI WAACHENI WACHAPE KAZI - DK. MNDOLWA

Na Dotto Mwaibale
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuacha kuwabugudhi viongozi waliopo madarakani kwa kuchaguliwa waendelee kuchapa kazi badala ya kuanza kuzihitaji nafasi zao kabla ya wakati.
Mwito huo umetolewa na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama hicho wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Dk. Edmund Mndolwa wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo.
"Wito wangu kwa wanachama wenzangu wenye lengo la kutaka kugombea...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015



 Ngeleja naye afunguka
NA PETER KATULANDA, MWANZA
WAKATI vijana wakiendelea kupigiwa upatu katika harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwakani, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, ameibuka na kuweka mambo hadharani.

Ngeleja, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini na miongoni mwa wanasiasa vijana wanaotajwa kuwa wanatosha kwenye nafasi hiyo, amesema ni mapenzi ya Mungu ndiyo yatamwongoza kuwania nafasi hiyo au kuendelea na ubunge.
“Kwa sasa naendelea kutii maagizo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani