Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTEMBELEA MAKANISA NA SEHEMU ZA IMANI ZA KIJADI — WAACHENI WAJINADI

Kwenye siasa, hasa wakati wa uchaguzi, hilo, la kushawishi kura haliepukiki, yaani kupita kwenye mahekalu na kushawishi kupigiwa kura, labda tuseme, wagombea wapite kwenye madhehebu yote, ambacho nahisi ndicho kitakachofanyika.

Niwape mfano- mimi, Leila, ningekuwa nagombea ubunge Tanga iwe mjini; Korogwe; vijijini; jambo la kwanza, hata kabla sijachukua fomu za mgombea na kujaza, ningekwenda kuwaona wazee wa Tanga.

Wazee wa Tanga wapo Waislamu, tena wa usharika wa Sunni; Shia; Bohora; Ansari...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Tibaijuka, Mwijage wajinadi kwa sufuria za wali Muleba

WABUNGE wawili wa Muleba Kusini na Kaskazini, Profesa Anna Tibaijuka na Charles Mwijage, wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameibuka na mbinu mpya ya kupata wananchi kwa kupika na kugawa...

 

10 years ago

Habarileo

Pengo: Waacheni Wakristo wajiamulie

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo“MAASKOFU hatuna mamlaka ya kuwaamulia au kuwalazimisha waumini wetu wafanye uamuzi gani kuhusu Katiba. Kuwaamulia ni kuwadharau kuwa hawawezi kufanya uamuzi sahihi wao wenyewe na kuingilia uhuru wao. “Waraka huu unaleta utengano katika taifa kuwa Wakristo tumechukua uamuzi dhidi ya Serikali na wengine....Tuwaache waumini wafanye uamuzi kwa tafakari yao binafsi bila shinikizo letu…”

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal azindua sherehe za Kijadi za Wasukuma wilayani Magu mkoa wa Mwanza

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhiwa Usinga na wazee wa kijiji cha kisesa wilayani Magu baada ya kusimikwa kuwa kiongozi wa kabila la wasukuma na, wakati wa Sherehe za kijadi na maadhimisho ya siku ya ngoma na nyimbo za kabila la Kisukuma zilizofanyika Wilayani magu mkoani Mwanza jana.

02

03

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga  Ngoma kuashiria uzinduzi wa Mashindano ya Ngoma na Nyimbo katika...

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILAL AZINDUA SHEREHE ZA KIJADI ZA WASUKUMA WILAWANI MAGU MKOA WA MWANZA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhiwa Usinga na wazee wa kijiji cha kisesa wilayani Magu baada ya kusimikwa kuwa kiongozi wa kabila la wasukuma na, wakati wa Sherehe za kijadi na maadhimisho ya siku ya ngoma na nyimbo za kabila la kisukuma zilizofanyika Wilayani magu mkoani Mwanza jana.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga  Ngoma  kuashiria uzinduzi wa Mashindano ya Ngoma na Nyimbo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waacheni waulilie urais 2015, watanyamaza

MTOTO akililia wembe mpe, ukimkata atauacha. Hakuna ambaye amefika hapo alipo bila kukumbwa na mikasa au misukosuko ya hatari wakati akiwa mtoto kwa lengo la kuutafuta ukubwa kwa nguvu na...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI KUPITIA CCM WAJINADI MBELE YA WAJUMBE KATA YA MAWENZI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini Priscus Tarimo akijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Edmund Rutaraka akiomba kura mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha aijinadi mbele ya wajumbe wa CCM kata ya Mawenzi.Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mawenzi wakiwasikiliza wagombea.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

BBCSwahili

Van Gaal: Waacheni wachezaji, nizomeeni mimi

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amewaambia mashabiki wamzomee na kumkosoa yeye badala ya wachezaji.

 

10 years ago

Vijimambo

Mzindakaya: Waacheni wananchi waamue wenyewe Katiba mpya

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya, amewashauri wanaokusudia kuandamana nchi nzima kutopoteza nguvu na muda kwa kuwa uamuzi wote kuhusu Katiba mpya, utaamuliwa na wananchi kupitia kura ya maoni.

Dk. Mzindakaya, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), alikuwa akizungumzia maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba lililohitimisha shughuli zake mjini Dodoma wiki iliyopita.

"Waliosema Katiba itokane na...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE AKAMATWA NA SILAHA ZA KIJADI KWA AJILI YA KUFANYIA VURUGU WAKATI WA UCHAGUZI MKOANI SHINYANGA



 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidiziJustus Kamugisha akionesha moja ya mapanga yaliyokamatwa na jeshi la polisi  yanadaiwa kuwa yaliandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu 2015.Picha na Kadama Malunde-Malunde1 BlogVipande vya nondo na mapanga yanayodaiwa kuwa ni ya mgombea ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Jeremia Mshandete wa Chadema, ni miongoni mwa silaha za jadi zilizokatwa ambazo zinadaiwa kuwa ziliandaliwa kwa ajili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani