Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAHARIRI WAANDAMIZI WAHAMASIKA NA KUJIUNGA RASMI KATIKA MPANGO MAALUM WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KATIKA MFUKO WA GEPF WAKATI WA SEMINA MAALUM YA JUKWAA LA WAHARIRI ILIYOFANYIKA MJINI MTWARA

Bw Aloyce Ntukamazina Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja akiwasilisha mada juu ya uchangiaji wa hiari katika mpangowa VSRS.
Bw Nevile Meena Katibu Mkuu wa jukwaa la wahariri akikabidhiwa kadi ya uanachama baada ya kujiunga rasmi na Mfuko wa GEPF.
  Bi Grace…

 

11 years ago

Dewji Blog

Tamko la jukwaa la Katiba kuhusu Bunge Maalum la Katiba linaloanza Dodoma Agosti 5, 2014

2

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza Agosti 5, 2014 ambapo walishauri Bunge hilo likae wiki mbili badala ya miezi miwili kama ilivyopangwa ili kupunguza matumizi makubwa ya fedha za Umma. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Kamati na Uongozi Jukata Omar Ali Omar,  Meneja Habari na Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Kenny...

 

11 years ago

Michuzi

TAMKO LA JUKWAA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA LINALOANZA DODOMA AGOSTI 5, 2014

 Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza Agosti 5, 2014 ambapo walishauri Bunge hilo likae wiki mbili badala ya miezi miwili kama ilivyopangwa ili kupunguza matumizi makubwa ya fedha za Umma. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Kamati na Uongozi Jukata Omar Ali Omar,  Meneja Habari na Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Kenny...

 

10 years ago

GPL

JUKWAA LA WAHARIRI LALAANI POLISI KUWAPIGA WAANDISHI DAR

Mwenyekiti wa TEF, Absalom Kibanda (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).  Kushoto ni Katibu wake, Neville Meena. Wanahabari wa vyombo mbalimbali waliofika kwenye mkutano huo.…

 

11 years ago

GPL

JAJI WARIOBA AKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI NCHINI (TEF) NA BARAZA LA HABARI (MCT)

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya Tume hiyo na Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar esa Salaam leo Alhamisi Januari 2, 2014. Anayeshuhudia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga.
...

 

11 years ago

Michuzi

JUKWAA LA KATIBA WATANGAZA KUSULUHISHA MGOGORO WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi za Jukwaa la Katiba jijini Dar es Salaam katika kutoa tamko rasmi za tathimini ya Jukwaa la Katiba Tanzania kuhusu Katiba Mpya, Tulipotoka, Tulipo na Tuendako. Pembeni ni Msimamizi wa Mradi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya (NGO Network for Dodoma) Bw. Edward Mbogo (kushoto) na Mjumbe wa Jukwaa la Katiba toka Pemba Bw. Omari Omari.
Waandishi wa Habari wakifuatilia. --- Na...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI JUKWAA LA KATIBA...

Stori: Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba (pichani) amejikuta akishikilia roho mkononi baada ya kupewa vitisho na mtu asiyejulikana kuwa atamuua bila kumueleza sababu.  Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba Taarifa kutoka chanzo chetu ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania zinasema kuwa, kiongozi huyo alipewa vitisho hivyo Julai 23, mwaka huu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Dodoma waanzisha jukwaa la vijana wasomi, wajasiriamali

Ujana ndio umri pekee ambao mtu anaweza kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yake binafsi na kwa Taifa kwa ujumla

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani