Dodoma waanzisha jukwaa la vijana wasomi, wajasiriamali
Ujana ndio umri pekee ambao mtu anaweza kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yake binafsi na kwa Taifa kwa ujumla
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Wasomi waanzisha taasisi ya kodi
NA MWANDISHI WETU
VIJANA wanane wenye elimu ya vyuo vikuu wameanzisha taasisi yao itakayokuwa ikijihusisha na masuala ya elimu ya ulipaji kodi.
Taasisi hiyo iitwayo CTA ilitangazwa jana jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari na kuhudhuriwa na baadhi ya viongozi waaanzilishi.
Akizungumza katika mkutano huo, Msemaji wa taasisi hiyo, Victor Lukomanya, alisema wamelazimika kuianzisha baada ya kuona sehemu kubwa ya Watanzania wenye sifa za kulipa kodi hawafanyi hivyo.
Kutokana na hali...
11 years ago
GPLWADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI YATAKAYOFANYIKA DODOMA
10 years ago
MichuziMH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOMA LEO
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa la viongozi vijana
Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.
Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo...
11 years ago
Mwananchi29 May
Serikali iunge mkono wajasiriamali wasomi
10 years ago
Habarileo11 Jun
Vijana waanzisha klabu kusaidia kukabili uhalifu
VIJANA zaidi ya 100 kutoka shule za sekondari za mjini Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wamepaza sauti zao kupinga vitendo vya kiuhalifu.
10 years ago
StarTV15 Feb
SIDO, Wajasiriamali Mbeya waanzisha viwanda 48 Mbeya.
Na Amina Saidi,
Mbeya.
Shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo nchini, SIDO Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na wajasiriamali limefanikiwa kuanzisha viwanda 48 vya kuongeza thamani ya mazao ya Mpunga, Alizeti na usindikaji wa chakula cha mifugo.
Uanzishwaji wa viwanda hivyo ni sehemu ya mkakati wa Taifa wa kuongeza uzalishaji na thamani ya mazao yanayolimwa kwa wingi katika kila wilaya nchini.
Lengo la mkakati huo ni kuwa na kongamano/cluster za mazao ya biashara yatakayopewa...
9 years ago
MichuziVIJANA WAANZISHA CLUB KUMUUNGA MKONO DKT. MAGUFULU
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Vijana waanzisha Club kumuunga mkono Dkt. Magufuli
Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam jana. MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli.
Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala...