Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIDO, Wajasiriamali Mbeya waanzisha viwanda 48 Mbeya.

Na Amina Saidi,

Mbeya.

 

Shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo nchini, SIDO Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na wajasiriamali limefanikiwa kuanzisha viwanda 48 vya kuongeza thamani ya mazao ya Mpunga, Alizeti na usindikaji wa chakula cha mifugo.

 

Uanzishwaji wa viwanda hivyo ni sehemu ya mkakati wa Taifa wa kuongeza uzalishaji na thamani ya mazao yanayolimwa kwa wingi katika kila wilaya nchini.

 

Lengo la mkakati huo ni kuwa na kongamano/cluster za mazao ya biashara yatakayopewa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

10 years ago

Vijimambo

TPB yaendesha semina kwa wajasiriamali mkoani Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini MbeyaBaadhi ya wajasiriamali wakiwa katika semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Baadhi ya...

 

10 years ago

GPL

TPB YAENDESHA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI MKOANI MBEYA‏

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika semina kwa ajasiriamali...

 

10 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali walia kodi kubwa Sido

Wajasiriamali waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (Sido) jijini Dar es Salaam, wamelalamikia kupanda kwa zaidi ya mara tatu kwa kodi ya pango.

 

10 years ago

Dewji Blog

SIDO Iringa yawakopesha wajasiriamali wadogo zaidi ya sh milioni 229.9

IMG_3141

Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya.

Na Fredy Mgunda, Iringa

SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 229.9 kwa wajasiriamali wa mkoa huo, katika kipindi cha July mpaka Desemba mwaka jana.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya alisema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha wajasiriamali Wadogo kupata mitaji, na kuinua uchumi wao ili waondokane na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Magessa Mulongo afungua maonyesho ya wajasiriamali wa SIDO jijini Arusha

IMG-20140609-WA0055

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya  SIDO.

IMG-20140609-WA0058

 

IMG-20140609-WA0059

 

IMG-20140609-WA0025

 

IMG_7759

Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.

IMG_7959

Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka  viwanda vidogo vidogo.

IMG_8002

Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.

IMG_8014

IMG_8133

Mkurugenzi wa Sido...

 

11 years ago

GPL

AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…

 

9 years ago

Michuzi

MBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA

Kocha wa Timu ya Mbeya City fc a.k.a Wakoma Kumwanya ndugu, Juma Mwambusi akizungumza jambo na baadhi ya Vyombo vya Habari mara baada ya Mtanange huo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kumalizika katika Uwanja wa kumbukumbu Sokoine Jijini Mbeya, Ambapo Mbeya City FC  waliibuka kidedea kwa kuichalaza Jkt Ruvu goli 3-0, ambapo Dakika ya 23 mchezaji Joseph Mahundi kuipatia Mbeya City Goli la Kwanza na Goli la Pili toka kwa Temy Felix Dakika ya 57 kwa mkwaju wa Penati, huku Goli la Tatu...

 

11 years ago

Michuzi

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya


JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani