VIJANA WAANZISHA CLUB KUMUUNGA MKONO DKT. MAGUFULU
Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam jana. MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli. Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Vijana waanzisha Club kumuunga mkono Dkt. Magufuli
Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam jana. MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli.
Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala...
10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE WAIBUKIA MJINI IRINGA,WATANGAZA KUTEMBEA NCHI NZIMA KWA BAJAJ KUMUUNGA MKONO DKT MAGUFULI
Magufulika staili kama kawa,hata...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Wasanii wa Bongo Movie waibukia mjini Iringa, watangaza kutembea nchi nzima kwa Bajaj kumuunga mkono Dkt. Magufuli
9 years ago
GPL9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA NURU FM 93.5 IRINGA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT.MAGUFULI
11 years ago
Dewji Blog28 Jul
Kigoma kumuunga mkono Kafulika
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Na Mwandishi wetu
Wananchi wa Kigoma kusini, wamesema wapo tayari kuunganishwa na kesi ya Mbunge wao David Kafulila, wakisema kuwa sasa kiburi cha serikali ya Chama cha Mapinduzi sasa inabidi kifike mwisho.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika Kazuramimba, Basanza na Uvinza, wananchi hao walioonekana kuwa na hasira, walikataa kuuliza maswali mengi badala yake walikuwa wanaomba kuelekezwa utaratibu ili waweze...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Wasanii wa Injili kumuunga mkono Makamba
10 years ago
Mwananchi09 Apr
Chadema Moro kumuunga mkono Abood
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10