Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wa Injili kumuunga mkono Makamba

Wasanii wa nyimbo za Injili nchini wamemtaka Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba kuendelea na nia yake ya kugombea urais wakieleza kuwa wapo tayari kumpigia kampeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAIBUKIA MJINI IRINGA,WATANGAZA KUTEMBEA NCHI NZIMA KWA BAJAJ KUMUUNGA MKONO DKT MAGUFULI

Baadhi ya Wasanii nyota wa Filamu hapa nchini wakiongozwa na Jacob Steven a.k.a JB wakiwa wamenyanyua juu mikono yao kwa pamoja ni Ushindi sambamba na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto),kuonesha kuwa wasanii hao wanamuunga mkono Dkt Magufuli katika mbio zake za kuusaka Urais kwa kutembea nchi nzima kutumia Bajaji zao tano,ambapo Bajaj mojawapo itakuwa na kazi ya kukusanya kadi za wale wanaomua kurudi/kujiunga na chama cha CCM.


 Magufulika staili kama kawa,hata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii wa Bongo Movie waibukia mjini Iringa, watangaza kutembea nchi nzima kwa Bajaj kumuunga mkono Dkt. Magufuli

Baadhi ya Wasanii nyota wa Filamu hapa nchini wakiongozwa na Jacob Steven a.k.a JB wakiwa wamenyanyua juu mikono yao kwa pamoja ni Ushindi sambamba na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto),kuonesha kuwa wasanii hao wanamuunga mkono Dkt Magufuli katika mbio zake za kuusaka Urais kwa kutembea nchi nzima kutumia Bajaji zao tano,ambapo Bajaj mojawapo itakuwa na kazi ya kukusanya kadi za wale wanaomua kurudi/kujiunga na chama cha CCM.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-IRINGA

 

11 years ago

Dewji Blog

Kigoma kumuunga mkono Kafulika

kafulila

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.

Na Mwandishi wetu

Wananchi wa Kigoma kusini, wamesema wapo tayari kuunganishwa na kesi ya Mbunge wao David Kafulila, wakisema kuwa sasa kiburi cha serikali ya Chama cha Mapinduzi sasa inabidi kifike mwisho.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika Kazuramimba, Basanza na Uvinza, wananchi hao walioonekana kuwa na hasira, walikataa kuuliza maswali mengi badala yake walikuwa wanaomba kuelekezwa utaratibu ili waweze...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema Moro kumuunga mkono Abood

Mvutano wa uendelezaji ujenzi wa kituo cha mabasi cha Msamvu mjini hapa, umeingia hatua mpya baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza maandamano kuunga mkono hatua za Mbunge wa Morogoro Mjini, Aziz Abood kuhoji matumizi ya fedha za mradi huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sau, APPT kumuunga mkono urais Lowassa

Wakati vyama vinne vinavyounda Ukawa, vimempitisha Edward Lowassa kugombea urais, vyama vingine vya Sau na APPT-Maendeleo vimetangaza kumuunga mkono mgombea huyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vijana waanzisha Club kumuunga mkono Dkt. Magufuli

PIX1a

Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam jana. MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli.

PIX1b

PIX2

Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAANZISHA CLUB KUMUUNGA MKONO DKT. MAGUFULU

 Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam jana. MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli. Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani