Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI YATAKAYOFANYIKA DODOMA‏

Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Aj It Development  Bw Jackson Audiface akizungumzia  kuhusu Maonyesho ya Tatu ya Kazi za Vijana wajasiriamali Yatakayofanyika Mkoani Dododma Mwezi Aprili mwaka huu.Maonyesho hayo ya kazi za Vijana wajasiriamali Hususani Vijana wanaosoma Vyuo Vikuu vya Dodoma. Lengo la Manonyesho hayo ni Kuzitangaza Kazi za Vijana wajasiriamali Wa Tanzania.Pili kuwapa Muda wadau Mbalimbali Kukutana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KWANZA LA KIPEKEE LA KUWAWEZESHA WANAWAKE NA VIJANA

Pichani wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment ya jiji Dar,akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Serena Hotel,kuhusiana  tamasha la kwanza na la aina yake kufanyika nchini Tanzania, lenye lengo la kuongeza na kuchochea uelewa wa wanawake katika kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiwekea akiba.
 “Tamasha hili limeandaliwa ili kuwaonesha wanawake na vijana umuhimu wa kuweka akiba, aina tofauti...

 

11 years ago

GPL

MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI YAENDELEA VIWANJA VYA MASHUJAA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa wajasiriamali, Dokta Haruna Kifimbo (Kulia) akipata maelezo ya moja ya banda linaloonyesha na kuuza bidhaa zake  za madishi na vifaa vya umeme, kwenye maonesho ya biashara za wajasiriamali yanayoendelea katika viwanja vya Mashujaa, mjini Dodoma.
Baadhi ya akina mama wakiwa wanaangalia moja ya bidhaa katika mabanda ya wajasiriamali hao yanayoendelea hivi sasa.…
...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI , VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia baadhi ya picha mbalimbali wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiangalia moja ya vitabu wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12...

 

11 years ago

Mwananchi

Dodoma waanzisha jukwaa la vijana wasomi, wajasiriamali

Ujana ndio umri pekee ambao mtu anaweza kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yake binafsi na kwa Taifa kwa ujumla

 

10 years ago

GPL

FURSA YAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI MKOANI MOROGORO‏

Afisa Masoko wa kampuni ya simu mkoa wa Morogoro, Aminata Keita akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ujasiliamali ya Airtel fursa kwa vijana yenye lengo la kuwapa elimu ya usajiliamali ili kujiendeleza kibiashara na kujikimu kiuchumu yakishirikisha vijana 250 wenye umri wa kuanzia 16 hadi 26 na kufanyika ukumbi wa Veta mkoani Morogoro. Mkufunzi kutoka Veta kanda ya mashariki na kati, Marthin… ...

 

10 years ago

GPL

UKOSEFU WA KAZI KWA VIJANA NI JANGA LA DUNIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la "Tuwasiliane" linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili ya mazungumzo na kuboresha ushirikiano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau waombwa kusaidia watoto

SERIKALI na sekta mbalimbali zimeombwa kuguswa na tatizo la watoto wa mitaani ambalo ni janga la taifa. Hayo yalizungumzwa na mama Mlezi wa Kituo cha watoto yatima na waishio katika...

 

10 years ago

Habarileo

Wadau waombwa kuchangia sekta ya afya

WADAU wa Afya nchini wameombwa kuwekeza kwenye sekta hiyo kutokana na bajeti iliyotengwa kwa ajili ya sekta kuwa finyu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani