Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FURSA YAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI MKOANI MOROGORO‏

Afisa Masoko wa kampuni ya simu mkoa wa Morogoro, Aminata Keita akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ujasiliamali ya Airtel fursa kwa vijana yenye lengo la kuwapa elimu ya usajiliamali ili kujiendeleza kibiashara na kujikimu kiuchumu yakishirikisha vijana 250 wenye umri wa kuanzia 16 hadi 26 na kufanyika ukumbi wa Veta mkoani Morogoro. Mkufunzi kutoka Veta kanda ya mashariki na kati, Marthin… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAWEZESHA VIJANA ZAIDI YA 200 ARUSHA MBINU ZA KUENDESHA BIASHARA ZAO

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya akizungumza wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika jijini Arusha jana. Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Arusha, Blandina Nkini akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika jijini Arusha jana.…
...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAWEZESHA SEMINA YA DARAJA LA MAFANIKIO KWA VIJANA‏

Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (wa pili kutoka kulia) akifuatilia semina ya Daraja la Mafanikio iliyoandaliwa na American Chamber of Commerce (AMCHAM) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kupitia semina hiyo, mamia ya vijana kutoka sehemu mbalimbali (pichani) walipatiwa ujuzi wa jinsi ya kuandika CV, barua za maombi ya kazi pamoja na ujuzi utakaowasaidia...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAWAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI DAR

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (wa pili kulia ), akimkabidhi zawadi ya mashine ya kushonea 'cherehani', kwa Betha Benedict (wa pili kushoto), mkazi wa Bunju Jijini Dar es Salaam baada ya kuwezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakwezesha”. Kushoto ni mama yake Betha na kulia ni Meneja wa Airtel, Fadhili Mwasijeba. Bertha Benedict (watatu Kulia) akionyeshwa na Meneja Huduma wa jamii kwa Airtel...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAWAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (wa pili kulia ), akimkabidhi zawadi ya mashine ya kushonea 'cherehani', kwa Betha Benedict (wa pili kushoto), mkazi wa Bunju Jijini Dar es Salaam baada ya kuwezeshwa na mpango wa Airtel Fursa “Tunakwezesha”. Kushoto ni mama yake Betha na kulia ni Meneja wa Airtel, Fadhili Mwasijeba.Bertha Benedict (watatu Kulia) akionyeshwa na meneja Huduma wa jamii wa Airtel Hawa Bayumi (wapili Kulia) vifaa alivyokabidhi na Airtel kupitia mpango wake...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA JIJINI MOROGORO WACHANGAMIKIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUPITIA AIRTEL FURSA

Airtel Fursa imejikita katika mradi wake wa kuwezesha vijana hapa nchini katika ujasiliamali kupitia mpango wake wa kukomboa vijana hapa nchini wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha”. Wito umetolewa kwa vijana hapa nchini kujitokeza katika kuchangamkia fursa za kijasiriamali zinazojitokeza ili kuweza kuwaepushia vijana na matendo maovu yanayoweza kuwafanya ndani ya jamii kukosa thamani.  Rai hiyo imetolewa na Meneja utawala VETA MVTTC Twiganile Ndunguru Mkoani Morogoro katika warsha ya mafunzo ...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAWAGUSA VIJANA MKOANI DODOMA

Vijana mkoani DODOMA wameusifu mradi wa Airtel Fulsa ambao umeanzishwa na Airtel Tanzania kwa lengo la kuboresha maisha yao ya kila siku kwa kuwawezesha vijana kuzitambua fursa zinazowazunguka na kuzikamata. Ili kijana aweze kufaidika au kushiriki kwenye Airtel Fursa atatakiwa kutuma ujumbe mfupi kwenda kwa namba 15626 na kuweka maelezo yafuatayo:- Jina, Umri, aina ya biashara na eneo. Pia wanaweza kutuma maombi yao kwa kupitia barua pepe airtelfursa@tz.airtel.com ambapo watatakiwa kutuma...

 

10 years ago

GPL

TPB YAENDESHA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI MKOANI MBEYA‏

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akizungumza katika semina kwa ajasiriamali...

 

10 years ago

GPL

VIJANA MTWARA WAENDELEA KUWEZESHWA KUPITIA AIRTEL FURSA‏

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kushoto), akimkabidhi kijana Prisca George Chilumba, msaada wa vifaa mbali mbali vya saluni ya wanawake kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye sehemu yake ya biashara iliyokarabatiwa na Airtel katika Mtaa wa Ligula, Manispaa ya Mtwara jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa Airtel Mtwara, Bartholomew Masatu (wa pili kushoto) na...

 

9 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI‏

Mkufunzi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tanga,Hassani Juma Hassani akitoa mada wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga. Meneja mauzo wa Airtel Mkoa wa Tanga, Aluta Kweka akizungumza na wauzaji wa bidhaa za kampuni hiyo wakati wa semina ya Airtel Fursa ilivyofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa YDCP mkoani Tanga.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani