Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YAWEZESHA SEMINA YA DARAJA LA MAFANIKIO KWA VIJANA‏

Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (wa pili kutoka kulia) akifuatilia semina ya Daraja la Mafanikio iliyoandaliwa na American Chamber of Commerce (AMCHAM) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kupitia semina hiyo, mamia ya vijana kutoka sehemu mbalimbali (pichani) walipatiwa ujuzi wa jinsi ya kuandika CV, barua za maombi ya kazi pamoja na ujuzi utakaowasaidia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom yawezesha semina ya Daraja la Mafanikio kwa Vijana

Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) akifafanua jambo wakati wa semina ya Daraja la Mafanikio iliyoandaliwa na American Chamber of Commerce (AMCHAM) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kupitia semina hiyo, mamia ya vijana kutoka sehemu mbalimbali (pichani) walipatiwa ujuzi wa jinsi ya kuandika CV, barua za maombi ya kazi pamoja na ujuzi utakaowasaidia kutafuta kazi katika makampuni makubwa na yale ya kimataifa....

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YAANDAA SEMINA YA DARAJA LA MAFANIKIO KWA VIJANA MJINI MTWARA

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Fatma Salum Ally akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika kwenye Ukumbi VETA mjini Mtwara jana. Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi akizungumza wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika kwenye Ukumbi VETA mjini Mtwara jana.… ...

 

9 years ago

GPL

FURSA YAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI MKOANI MOROGORO‏

Afisa Masoko wa kampuni ya simu mkoa wa Morogoro, Aminata Keita akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ujasiliamali ya Airtel fursa kwa vijana yenye lengo la kuwapa elimu ya usajiliamali ili kujiendeleza kibiashara na kujikimu kiuchumu yakishirikisha vijana 250 wenye umri wa kuanzia 16 hadi 26 na kufanyika ukumbi wa Veta mkoani Morogoro. Mkufunzi kutoka Veta kanda ya mashariki na kati, Marthin… ...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKA WA VODACOM TANZANIA WANUFAIKA NA SEMINA YA MASWALA YA UDHIBITI WA KIPATO‏

Mshauri wa maswala ya uchumi na fedha Consultant Service Excellence,Joy Nyabongo akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania jinsi ya kuweza kudhibiti matumizi ya kipato binafsi.Semina hiyo ilifanyika  katika ukumbi wa sinema mlimani City jijini Dar es Salaam leo.…

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yawezesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)-Utawala, Dk. Joyce Peters Chonjo (kushoto), akikabidhi cheti kwa, Stella Jacob mmoja wa washiriki 300 wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya TUDARCo na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ch Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)-Utawala, Dk. Joyce Peters Chonjo (kushoto), akikabidhi...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAWEZESHA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA AFYA KIJIJI CHA MBOLA TABORA‏

Mfanyakazi wa huduma za afya bi Amina Wakasuvi akitoa huduma kwa moja ya familia katika kijiji cha mbola mkoani Tabora  ambapo Airtel chini ya mradi wa millennium village imewawezesha wafanyakazi hao kutumia mtandao wa mawasiliano kutoa huduma za Afya.
Akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa huduma za afya katika kijiji cha Mbola mkoani Tabora namna ya kutumia huduma ya mawasiliao ya simu kutoa… ...

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA WATIA NIA UBUNGE CHADEMA KANDA YA KATI YAFANYIKA DODOMA KWA MAFANIKIO

Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela akiwa na Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu walipokuwa katika Semina ya watia nia wa ubunge Kanda ya Kati iliyofanyika Dodoma.Pichani Mh Tundu Lissu kulia akiwa na Rajab Msabaha Kauzela.Mh Joseph Mbilinyi Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Mikumi (wa nne kutoka kushoto) akiwa na Mtia nia wa Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela (wa tatu kutoka kushoto) na watia nia wengine wa Kanda ya kati wakiwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM WAAZIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI KWA SEMINA MAALUMU

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Bw. Erick Mfinanga (kulia) na Bi. Farida Rashid (kushoto) wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa katika semina maalumu ya ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mtaalam toka Chuo Kikuu cha John Hopkins cha nchini Marekani Pamela...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yawezesha wanafunzi kuendelea na masomo kupitia jukwaa la kidijitali bure.


Wanafunzi wa vyuo mbalimbali nchini kunufaika na utoaji wa elimu bure kupitia jukwaa la kidijitali.Shule za msingi na sekondari kunufaika na upatikanaji bure wa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la ‘Vodacom Instant Schools portal’.Kampuni inayoongoza kidijitali nchini ya Vodacom Tanzania PLC inafanya kazi na shule pamoja na taasisi mbalimbali za elimu nchini kutoa huduma ya mafunzo ya dijitali bila gharama yoyote. Taasisi zilizonufaika na huduma hii ni pamoja na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani