Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAWEZESHA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA AFYA KIJIJI CHA MBOLA TABORA‏

Mfanyakazi wa huduma za afya bi Amina Wakasuvi akitoa huduma kwa moja ya familia katika kijiji cha mbola mkoani Tabora  ambapo Airtel chini ya mradi wa millennium village imewawezesha wafanyakazi hao kutumia mtandao wa mawasiliano kutoa huduma za Afya.
Akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa huduma za afya katika kijiji cha Mbola mkoani Tabora namna ya kutumia huduma ya mawasiliao ya simu kutoa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Airtel yawezesha mafunzo kwa wafanyakazi wa Afya kijiji cha Mbola Tabora

Wafanyakazi wa huduma za afya katika kijiji cha Mbola mkoani Tabora wakijaribu namna ya kutumia simu zao mara baada ya mafunzo ambapo Airtel inawawezesha kutumia simu zao kutoa huduma za Afya chini ya mradi wa millennium village. Akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa huduma za afya katika kijiji cha Mbola mkoani Tabora namna ya kutumia huduma ya mawasiliao ya simu kutoa huduma za kiafya Ambapo Airtel imewapatia wafanyakazi hao huduma ya internet , message na simu bure na kuwawezesha kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yawapatia mafunzo wafanyakazi wa afya

WAFANYAKAZI wa afya wa Kijiji cha Mbola, mkoani Tabora, wameishukuru Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kutokana na teknolojia ya huduma ya mawasiliano inayowawezesha kutoa huduma za afya...

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel

Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel WAKAZI wa Kijiji cha Kigwang’oko Wilaya ya Ulyankulu,wameipongeza kampuni ya Airtel kwa kuwajengea mnara wa mawasiliano na hivyo kuondokana na tatizo sugu la mawasiliano lililokuwa likiwakabili.  Wakazi hao wamekuwa wakifanya shughuli zao bila ya mawasiliano ya uhakika kwa muda mrefu jambo linalotajwa kukwamisha shughuli nyingi za maendeleo kijijini hapo.  Wanakijiji hao wameeleza kuwa, wamekuwa wakipata tabu...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA PROGRAM MAALUMU KWA WATOTO WA WAFANYAKAZI WAKE‏

Afisa Rasilimali wa watu, Mubaraka Kibarabara (wa tatu kushoto), akiwafunza watoto ,wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku. Mkurugenzi wa mtandao wa Airtel Tanzania, Franky Filman, akimfundisha mtoto jinsi ya kutumia mashine ya kutoa copy wakati wa program...

 

5 years ago

Michuzi

Airtel Tanzania yachangia sh. 700 milioni kwa wafanyakazi wa sekta ya afya dhidi ya mapambano ya COVID-19

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati) alipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Airtel Tanzania, Gabriel Malata
(kushoto) mfano wa hundi ya shilingi milioni saba (TZS 700,000,000) ukiwa ni mchango wa Airtel Tanzania kuunga mkono serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye mapambano dhidi ya virusi vya covid-19 (corona). Mchango uliotolewa na Airtel utatumika kununua vifaa kinga vitakavyosambazwa nchi nzima ili vitumike na...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yawezesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)-Utawala, Dk. Joyce Peters Chonjo (kushoto), akikabidhi cheti kwa, Stella Jacob mmoja wa washiriki 300 wa mafunzo ya ujasiriamali yaliyoandaliwa kwa ushirikiano kati ya TUDARCo na benki ya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ch Tumaini Dar es Salaam (TUDARCo)-Utawala, Dk. Joyce Peters Chonjo (kushoto), akikabidhi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua kijiji cha mfano cha vijana Sikonge mkoani Tabora

unnamed (1)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa kijiji cha mfano cha vijana Pathfinders Green City katika kata ya Igigwa wilayani Sikonge jana.Rais Kikwete yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ambapo pia atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha mbio za Mwenge leo.watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selenga.

unnamed (2)

Rais...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua kijiji cha Mfano cha Vijana Sikonge mkoani Tabora leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa kijiji cha mfano cha vijana Pathfinders Green City katika kata ya Igigwa wilayani Sikonge leo.Rais Kikwete yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ambapo pia atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha mbio za mwenge hapo kesho.watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selenga. Rais...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YADHAMINI MAFUNZO YA WAANDISHI‏

Mwenzeshaji wa Mafunzo ya waandishi wa habari bwana Ndimata Tegambwage akiongea wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel. Tanzania imedhamini mafunzo ya wapigapicha yatakayofanyika kuanzia kesho katika kituo cha Msimbazi  jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na MP5 2011 Entertainment.  Pichani katikati ni  Afisa mawasiliano na Matukio bi Dangio Kaniki akifatiwa na mratibu wa semina Mpochi Selemani. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani