MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI YAENDELEA VIWANJA VYA MASHUJAA MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa wajasiriamali, Dokta Haruna Kifimbo (Kulia) akipata maelezo ya moja ya banda linaloonyesha na kuuza bidhaa zake za madishi na vifaa vya umeme, kwenye maonesho ya biashara za wajasiriamali yanayoendelea katika viwanja vya Mashujaa, mjini Dodoma. Baadhi ya akina mama wakiwa wanaangalia moja ya bidhaa katika mabanda ya wajasiriamali hao yanayoendelea hivi sasa.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
Kutoka katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge Azan Zungu Bungeni mjini Dodoma.
Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akiwasilisha makadirio ya Matumizi...
10 years ago
Dewji Blog19 May
Pinda ateta na Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
GPLTASWIRA MBALIMBALI TOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
9 years ago
MichuziSHEREHE ZA KUAPISHWA WAZIRI MKUU WA AWAMU YA TANO VIWANJA VYA IKULU NDOGO CHAMWINO MJINI DODOMA
10 years ago
VijimamboMWILI WA MAREHEMU EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA KUAGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
Marehemu EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu unaagwa leo tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake Ukonga, Dar es...
11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
11 years ago
GPLWADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI YATAKAYOFANYIKA DODOMA
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Ni kweli viwanja vya maonyesho Sabasaba vimepitwa na wakati
MAONYESHO ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yaliyoanza Juni 28 mwaka huu kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Sabasaba, yalihitimishwa jana. Wafanyabiashara kutoka...
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Banda la Tigo lafurika viwanja vya maonyesho ya Kimataifa Sabasaba
Afisa wa mauzo wa Tigo Bi Annia Ernest akitoa huduma kwa mteja wake aliyefika kwenye banda la Tigo.
Watoto wakifurahia kucheza pamoja kwenye michezo mbalimbali iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo kwenye maonyesho ya sabasaba.
Wateja waliofurika kwenye banda la Kampuni ya simu za mkononi Tigo wakati wa maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba jana jijini Dar es Salaam.
Afisa wa mauzo wa Tigo akiwahudumia wateja waliofika kupata huduma kwenye maonyesho ya sabasaba.
Wasanii wa kikundi...