WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KWANZA LA KIPEKEE LA KUWAWEZESHA WANAWAKE NA VIJANA

Pichani wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment ya jiji Dar,akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Serena Hotel,kuhusiana tamasha la kwanza na la aina yake kufanyika nchini Tanzania, lenye lengo la kuongeza na kuchochea uelewa wa wanawake katika kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiwekea akiba.
“Tamasha hili limeandaliwa ili kuwaonesha wanawake na vijana umuhimu wa kuweka akiba, aina tofauti...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI YATAKAYOFANYIKA DODOMA
10 years ago
StarTV04 Mar
Wakazi Mtwara waombwa kujitokeza kuchangia damu.
Na Joseph Mpangala,
Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu amewaomba wakazi wa mkoa huo kuhakikisha wanajitokeza kuchangia damu kutokana na kituo cha damu salama cha mikoa ya kanda ya kusini kuonekana kuwa na uhaba mkubwa wa Damu na hivyo kusababisha damu nyingi kuagizwa kutoka kanda nyingine pindi kunapotokea mahitaji ya damu kwa wagonjwa.
Dendegu ameyasema hayo katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya wanawake mkoa Mtwara.
Maadhimisho hayo yameanza kwa mkuu wa Mkoa wa...
10 years ago
GPLALIYEVUNJWA TAYA AFANYIWA OPARESHENI, NDUGU WAOMBWA KUJITOKEZA
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...
10 years ago
Michuzi
Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...
10 years ago
Vijimambo03 Mar
Azam kudhamini daraja la kwanza

Mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) ambao hukutanisha viongozi wa Klabu za Ligi Kuu ya Soka Bara na Ligi Daraja la Kwanza, uliofanyika Februari 28 mwaka huu, umejadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja kujulishwa taarifa za kupatikana kwa mdhamini wa Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao, ambaye ni Azam Media.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kaimu Mtendaji wa Bodi hiyo, Fatma Shibo, alisema kuwa katika mkutano huo pia wajumbe walijadili utendaji wa kazi za kila siku za bodi hiyo na mfumo...
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Rocky City Mall, ya kwanza, ya kipekee
UKIFIKIRIA kwamba nakshi na usanifu wa jengo la kitega uchumi linalomilikiwa kwa ubia kati ya Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF) na Halmshauri ya Jiji la Mwanza, ni urembo na mbwembwe tu za wasanifu majengo ili kurembesha kazi zao, unahitaji kubungua ubongo upya, kwa sababu utakuwa umekosea.
Jengo hilo ‘Rocky City Mall’ lililoko eneo maarufu la Ghana, Kata ya Kirumba, jijini Mwanza, kwenye makutano ya Barabara za Makongoro na Furahisha, si tu linaanza kuitimiza ndoto ya...