Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam kudhamini daraja la kwanza



Mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) ambao hukutanisha viongozi wa Klabu za Ligi Kuu ya Soka Bara na Ligi Daraja la Kwanza, uliofanyika Februari 28 mwaka huu, umejadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja kujulishwa taarifa za kupatikana kwa mdhamini wa Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao, ambaye ni Azam Media.

Akizungumza na gazeti hili jana, Kaimu Mtendaji wa Bodi hiyo, Fatma Shibo, alisema kuwa katika mkutano huo pia wajumbe walijadili utendaji wa kazi za kila siku za bodi hiyo na mfumo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

FAINALI DARAJA LA KWANZA KUCHEZWA AZAM COMPLEX, CHAMAZI

Fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL), inatarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Awali mchezo huo wa fainali ulikuwa umepangwa kufanyika kesho kwenye dimba la Uwanja wa Taifa, lakini kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TTF imepelekea mchezo huo kuhamishiwa Chamazi.

Mchezo huo wa fainali utaanza saa 10 kamili jioni, na...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KWANZA LA KIPEKEE LA KUWAWEZESHA WANAWAKE NA VIJANA

Pichani wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment ya jiji Dar,akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Serena Hotel,kuhusiana  tamasha la kwanza na la aina yake kufanyika nchini Tanzania, lenye lengo la kuongeza na kuchochea uelewa wa wanawake katika kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiwekea akiba.
 “Tamasha hili limeandaliwa ili kuwaonesha wanawake na vijana umuhimu wa kuweka akiba, aina tofauti...

 

9 years ago

Habarileo

Daraja la Kwanza wazidi kuula

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesaini mkataba wa miaka mitatu na Kampuni ya Sahara Media wa haki ya kurusha mechi za Ligi Daraja la Kwanza wenye thamani ya Sh milioni 450 jana.

 

10 years ago

Mwananchi

‘First 11 ya Simba’ Ligi Daraja la Kwanza

Ligi Kuu Bara na Ligi Daraja la Kwanza zimesimama ili kupisha mashindano ya Chalenji, mashindano ya Uhai na dirisha dogo la usajili ambalo litafungwa Desemba 15.

 

11 years ago

Mwananchi

Daraja la kwanza laichosha Toto

Kocha Mkuu wa kikosi cha Toto Afrika chenye maskani yake jijini Mwanza, Athumani Bilali ‘Bilo’ amesema hakuna ligi ngumu nchini kama ya Daraja la Kwanza, akisisitiza kuwa kwake ni afadhali ya Ligi Kuu.

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu Ligi Daraja la Kwanza zikomeshwe

Ligi Daraja la Kwanza msimu huu imetawaliwa na vurugu ambazo hazionekani kukoma wala hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa na wahusika kukomesha vurugu hizo.

 

9 years ago

Habarileo

Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga

LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.

 

9 years ago

Habarileo

Ligi Daraja la Kwanza kuendelea kesho

VINARA wa kundi A kwenye ligi daraja la kwanza, Ashanti United watashuka uwanjani kesho kuikabili Polisi Dodoma kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JKT Oljoro yapania daraja la kwanza

TIMU ya JKT Oljoro imepania kukabili ushindani wa ligi Daraja la Kwanza kwa kuanza maandalizi mapema ikiwemo kuingia kambini na kujifua kwa mazoezi magumu ili waweze kurejea Ligi Kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani