FAINALI DARAJA LA KWANZA KUCHEZWA AZAM COMPLEX, CHAMAZI

Fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL), inatarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.Awali mchezo huo wa fainali ulikuwa umepangwa kufanyika kesho kwenye dimba la Uwanja wa Taifa, lakini kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TTF imepelekea mchezo huo kuhamishiwa Chamazi.
Mchezo huo wa fainali utaanza saa 10 kamili jioni, na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
10 years ago
Vijimambo03 Mar
Azam kudhamini daraja la kwanza

Mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) ambao hukutanisha viongozi wa Klabu za Ligi Kuu ya Soka Bara na Ligi Daraja la Kwanza, uliofanyika Februari 28 mwaka huu, umejadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja kujulishwa taarifa za kupatikana kwa mdhamini wa Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao, ambaye ni Azam Media.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kaimu Mtendaji wa Bodi hiyo, Fatma Shibo, alisema kuwa katika mkutano huo pia wajumbe walijadili utendaji wa kazi za kila siku za bodi hiyo na mfumo...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Azam waivaa Ferraviario ndani Azam Complex
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Fainali za Olimpiki kuchezwa Maracana
10 years ago
Bongo Movies06 Jul
Wake Up Filamu ya Kwanza Bongo Kuchezwa na Mastaa Wengi
TASNIA ya filamu imezidi kukua na kusonga mbele kila siku, thamani ya wasanii wanalipwa fedha nyingi kwa kushiriki filamu moja jambo linalomfanya mtayarishaji kutumia wasanii wachache kwa filamu yake lake katika sinema ya WAKE UP imevunja rekodi kuwashirikisha nyota wengi.
Akiongea na waandishi wa Habari mtayarishaji wa filamu hiyo Manaiki Sanga amesema kuwa sinema hiyo ilikuwa na kazi kubwa kwani hata kama mwigizaji angetaka kuigiza bure shughuli ilikuwa kuwahudumia mahitaji yao kwani ni...
11 years ago
GPL
AZAM YAIZAMISHA RUVU SHOOTING HUKO CHAMAZI