Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEVUNJWA TAYA AFANYIWA OPARESHENI, NDUGU WAOMBWA KUJITOKEZA

Emmanuel Nelson Chitepete akiwa hospitalini. Mwandishi wa Global TV Online & Mtandao, Gabriel Ng’osha, akikabidhi fedha kwa msimamizi wa wodi, Sista Masumbuko kutoka kwa Wasamaria wema waliochanga ili kumtibu mgonjwa huyo. KIJANA Emmanuel Nelson, mkazi wa Tabata-Relini, jijini Dar es Salaam, ambaye aliokotwa na polisi wa kituo cha… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Wakazi Mtwara waombwa kujitokeza kuchangia damu.

Na Joseph Mpangala,

Mtwara.

 

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu amewaomba wakazi wa mkoa huo kuhakikisha wanajitokeza kuchangia damu kutokana na kituo cha damu salama cha mikoa ya kanda ya kusini kuonekana kuwa na uhaba mkubwa wa Damu na hivyo kusababisha damu nyingi kuagizwa kutoka kanda nyingine pindi kunapotokea mahitaji ya damu kwa wagonjwa.

 

Dendegu ameyasema hayo katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya wanawake mkoa Mtwara.

 

Maadhimisho hayo yameanza kwa mkuu wa Mkoa wa...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TAMASHA LA KWANZA LA KIPEKEE LA KUWAWEZESHA WANAWAKE NA VIJANA

Pichani wa tatu kulia ni  Mkurugenzi wa Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment ya jiji Dar,akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Serena Hotel,kuhusiana  tamasha la kwanza na la aina yake kufanyika nchini Tanzania, lenye lengo la kuongeza na kuchochea uelewa wa wanawake katika kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiwekea akiba.
 “Tamasha hili limeandaliwa ili kuwaonesha wanawake na vijana umuhimu wa kuweka akiba, aina tofauti...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi

Picha DC TMK

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.

Picha na 1

Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

MTANZANIA AFARIKI MAREKANI, NDUGU WA MAREHEMU WATAKIWA KUJITOKEZA

Habari kutoka Madison Wisconsin nchini Marekani zinasema kuwa mtanzania, Michael Agustine Lukindo (pichani), amefariki Dunia na hakuna taarifa zozote kuhusiana na ndugu zake. Lukindo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Tanga ameacha mke na watoto wanne. Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Oliver Temba  juhudi za kuwapata ndugu zake hazikufanikiwa. Marehemu Michael Lukindo amefariki dunia mjini Madison Wisconsin-USA, kutokana na hali hiyo familia ya marehemu imewaomba ndugu wea marehemu kujitokeza...

 

11 years ago

GPL

MGONJWA WA TAYA ALISHUKURU IJUMAA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
MREMBO anayesumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba taya, Asha Manga mkazi wa Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, amelishukuru gazeti hili kwa kumuwezesha kupata msaada wa shilingi milioni 1 za matibabu. Asha Manga akihesabu fedha alizopewa kama msaada kiasi cha shilingi milioni 1 kwa ajili ya matibabu. Asha amepata kiasi hicho cha fedha… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taya ya mtu wa kwanza yagunduliwa

Wanasayansi wamegundua taya wanaodai ni ile ya mtu wa kwanza duniani.

 

10 years ago

GPL

AVUNJIKA TAYA, AOMBA MSAADA WA 60, 000/= ATIBIWE

Emmanuel Nelson akiwa wodini Hospitali ya  Taifa Muhimbili. EMMANUEL NELSON mwenye umri wa miaka kati ya (30 au 35, ambaye ni  mzaliwa wa Mbamba Bay, Ruvuma, na ambaye wazazi wake wanaishi Dodoma, anaomba msaada wa kutibiwa…

 

11 years ago

GPL

MGANGA AMVUNJA TAYA MKEWE, MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA!

Stori:  Juma Kapipi, Tabora
UKATILI, unyama kila kona! Mariam Kilimba (52), mkazi wa Ipuli katika Manispaa ya Tabora mkoani hapa anadaiwa kupigwa na mumewe hadi kuvunjwa taya. Mariam Kilimba (52) aliyevunjwa taya na mumewe. Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni, mwanaume aliyetekeleza ukatili huo ilielezwa kuwa ni mganga wa kienyeji na chanzo cha yote hakikuelezwa mara moja kwani mwanamke huyo hajaweza kuzungumza....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani