MGANGA AMVUNJA TAYA MKEWE, MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA!

Stori:Â Juma Kapipi, Tabora UKATILI, unyama kila kona! Mariam Kilimba (52), mkazi wa Ipuli katika Manispaa ya Tabora mkoani hapa anadaiwa kupigwa na mumewe hadi kuvunjwa taya. Mariam Kilimba (52) aliyevunjwa taya na mumewe. Katika tukio hilo lililojiri hivi karibuni, mwanaume aliyetekeleza ukatili huo ilielezwa kuwa ni mganga wa kienyeji na chanzo cha yote hakikuelezwa mara moja kwani mwanamke huyo hajaweza kuzungumza....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UKATILI TENA: HAUSIGELI MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA NA BOSI WAKE
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Breaking News…#Ukatili tena: Mtoto mwingine mwenye Albinism akatwa mkono, mama mtu ajeruhiwa vibaya
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na maktaba).
Na modewji blog
Mtoto Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi (Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya Kiseta wilayani Sumbawanga vijijini, mkoani Rukwa.
Picha ya mtoto Baraka Cosmas Rusambo, akiwa wodini akipatiwa matibabu ya jeraha la...
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Nasri ajeruhiwa vibaya
11 years ago
GPL
10 years ago
StarTV14 Jan
Mfanyabiashara auawa, mwingine ajeruhiwa Bunda.
Na Ahmed Makongo,
Bunda Mara.
Mfanyabiashara mmoja wa kuuza samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mwingine kujeruhiwa kwa kupigwa risasi katika matukio mawili tofauti yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani Mara Philpo Kalangi tukio la kwanza lilitokea Januari 12 mwaka huu majira ya saa 3 usiku katika eneo la Nyasura mjini Bunda ambapo mfanyabiashara huyo akiwa na mke wake wakati wakirejea nyumbani alipigwa risasi na watu wasiofahamika ambao...
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi
Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.
Na Mwandishi Wetu , Singida.
Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Msichana huyo Jackline Lasway...
9 years ago
Bongo512 Nov
Msanii akikaa vibaya kwenye mdundo wangu nina haki ya kumnyang’anya na kumpa mwingine — Nahreel

Nahreel ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wakali tulionao Tanzania kwa sasa, akiwa amehusika na utengenezaji wa hits nyingi ambazo zimefanikiwa kushika chati mbalimbali za ndani na nje mipaka yetu.
Kupitia studio yake ya The Industry aliyoifungua mwaka jana (2014) baada ya kufanya kazi kwenye studio nyingi za watu wengine kama Hometown, The Switch na Kama Kawa, Nahreel ameshafanya kazi na wasanii wengi wa ndani na pia tayari ameanza kuwavutia wasanii wakubwa wa Afrika kama rapper K.O...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya
UTEUZI wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...
10 years ago
Vijimambo
BWANA HARUSI AANGUKA KIFAFA KABLA YA HARUSI, ALIMFICHA MKEWE MTARAJIWA KAMA ANAANGUKA, MKE AAMUA KUOLEWA NA MWINGINE PAPO KWA PAPO
