Msanii akikaa vibaya kwenye mdundo wangu nina haki ya kumnyang’anya na kumpa mwingine — Nahreel
Nahreel ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wakali tulionao Tanzania kwa sasa, akiwa amehusika na utengenezaji wa hits nyingi ambazo zimefanikiwa kushika chati mbalimbali za ndani na nje mipaka yetu.
Kupitia studio yake ya The Industry aliyoifungua mwaka jana (2014) baada ya kufanya kazi kwenye studio nyingi za watu wengine kama Hometown, The Switch na Kama Kawa, Nahreel ameshafanya kazi na wasanii wengi wa ndani na pia tayari ameanza kuwavutia wasanii wakubwa wa Afrika kama rapper K.O...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jan
CCM wajipanga kumnyang’anya jimbo Msigwa wa Chadema
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimetangaza mpango mkakati wa kulikomboa Jimbo la Uchaguzi la Iringa Mjini. Mpango huo ulitangazwa katika mkutano mkubwa, uliofanyika juzi kwenye uwanja wa Mwembetogwa mjini hapa. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Mchungaji Peter Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2010.
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Nahreel kasema ‘nisieleweke vibaya kuhusu haya niliyosema kuhusu Diamond’
Nahreel ni msanii wa kundi la Navy Kenzo lakini pia ni Producer ambaye mikono yake imehusika kuzisuka hits nyingi tu ikiwemo za WEUSI, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Shilole na hivi karibuni Nahreel ameingia kwenye headlines za Tanzania baada ya kusema hakupendezwa na maneno ya utambulisho wake kufutwa kwenye beat aliyoitengeneza ya wimbo wa ‘Nana‘ wa Diamond […]
The post Nahreel kasema ‘nisieleweke vibaya kuhusu haya niliyosema kuhusu Diamond’ appeared first on...
10 years ago
Habarileo18 Dec
Mkono: Nina hofu na usalama wangu
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM) amesema maisha yake yako hatarini, kutokana na kuwepo genge la watu ambalo amedai wana nia mbaya na yeye, hivyo ameomba jeshi la Polisi kuchunguza watu hao.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXqZsFTbXuzpAV133PUajtSnzIJ9EAmpEITR2xZZMiDDY4ByNu3jHx7*f1zi4tdBblH9jS3qkrJvEFbG7ZWTFz2C/MGANGA.jpg?width=650)
MGANGA AMVUNJA TAYA MKEWE, MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC0-y6yRXYNfEunpsDc-m2VntABdcrXj2mm-ar7dGOiD-mkEFbyVjmxfjDnZI57yN4BL7dp9pxrWhTjObuT0*VQV/1HAUSIGELI.jpg)
UKATILI TENA: HAUSIGELI MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA NA BOSI WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCySyT8dqyLO*rJQgeMCtJJ5gdJNzmdzflTBLPBua-6VGJdNw6YfRCwBSHSlJop7KBNFUEQfcuAx-YtDgfqUpGav/Aunt.jpg?width=650)
AUNT: MUME WANGU HAJUI KAMA NINA MIMBA
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Aunt Ezekiel: Nina haki ya kuhama chama
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amedai kutishiwa amani baada ya kufanya maamuzi yake kisiasa ambapo amehamisha ushabiki wake kutoka chama kimoja na kwenda chama kingine.
Licha ya mrembo huyo kudai kupokea vitisho mbalimbali, pia alidai amehama chama hicho na kujiunga na kingine
kutokana na kukubali sera za chama hicho.
“Sera za chama nilichohamia zimenivutia na wala sikulazimishwa na mtu wala sijapokea fedha wala gari kuhamia
huko kama inavyosemekana, bali nafsi na mapenzi...