Mfanyabiashara auawa, mwingine ajeruhiwa Bunda.
Na Ahmed Makongo,
Bunda Mara.
Mfanyabiashara mmoja wa kuuza samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mwingine kujeruhiwa kwa kupigwa risasi katika matukio mawili tofauti yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani Mara Philpo Kalangi tukio la kwanza lilitokea Januari 12 mwaka huu majira ya saa 3 usiku katika eneo la Nyasura mjini Bunda ambapo mfanyabiashara huyo akiwa na mke wake wakati wakirejea nyumbani alipigwa risasi na watu wasiofahamika ambao...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mwanahabari ajeruhiwa kampeni udiwani Bunda
WATU watatu akiwemo mwanahabari wa gazeti la Mwananchi, Christopher Maregesi (40), wamejeruhiwa na kundi la watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Pamoja na Maregesi aliyekuwa kazini wakati...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7TcBzbi1eXqZsFTbXuzpAV133PUajtSnzIJ9EAmpEITR2xZZMiDDY4ByNu3jHx7*f1zi4tdBblH9jS3qkrJvEFbG7ZWTFz2C/MGANGA.jpg?width=650)
MGANGA AMVUNJA TAYA MKEWE, MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC0-y6yRXYNfEunpsDc-m2VntABdcrXj2mm-ar7dGOiD-mkEFbyVjmxfjDnZI57yN4BL7dp9pxrWhTjObuT0*VQV/1HAUSIGELI.jpg)
UKATILI TENA: HAUSIGELI MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA NA BOSI WAKE
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mfanyabiashara auawa Moshi
KUNDI la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakiwa na silaha, wamevamia duka la jumla la kuuza bia na bidhaa mbalimbali na kisha kumuua kwa kumpiga risasi mmiliki wa duka hilo, Respiki...
10 years ago
Habarileo24 Oct
Mfanyabiashara auawa nyumbani kwake
MFANYABIASHARA wa nafaka wa Maili Mbili , Dodoma mjini, Kapteni Mwita maarufu kama Chacha amepigwa risasi tatu na kufa akiwa nyumbani kwake.
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Mfanyabiashara auawa kwa risasi
MFANYABIASHARA mkazi wa Kijiji cha Katuma wilayani Mpanda, Juma Luhanga (29) ameuawa kwa kupingwa risasi katika jicho lake la kushoto na watu wawili wanaosaidkiwa kuwa majambazi akiwa dukani kwake. Kaimu Kamanda wa Polisi...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Breaking News…#Ukatili tena: Mtoto mwingine mwenye Albinism akatwa mkono, mama mtu ajeruhiwa vibaya
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na maktaba).
Na modewji blog
Mtoto Baraka Cosmas Rusambo mwenye umri wa miaka sita mwenye ulemavu wa ngozi (Albinism), amekatwa mkono wa kulia katika tukio lilitokea Jumamosi usiku tarehe7 Machi kwenye kijiji cha Kiseta, Kata ya Kiseta, Tarafa ya Kiseta wilayani Sumbawanga vijijini, mkoani Rukwa.
Picha ya mtoto Baraka Cosmas Rusambo, akiwa wodini akipatiwa matibabu ya jeraha la...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/li0jpfi0h9ncbHh9lZe3p*hHhTFT9qUGiHTSrz1kLYDg8srr6HX3qTzoYEtYSxrDRSr58Epkhl2iPTehITSVoPRqnQ7L6fm7/BACKUWAZI.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Jan
Mfanyabiashara wa samaki auawa kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
MFANYABIASHARA wa samaki ameuawa kwa kupigwa risasi na mwingine kujeruhiwa kwa risasi katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Bunda mkoani Mara.
Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philpo Kalangi, alithibitisha jana kutokea kwa matukio hayo alipozungumza na Uhuru kwa njia ya simu.
Alisema tukio la kwanza lilitokea juzi saa 3:00 usiku, katika eneo la Nyasura mjini hapa.
Alisema mfanyabiashara huyo, Mkome Marwa (39), akiwa na mke wake, wakati wakirejea...