AVUNJIKA TAYA, AOMBA MSAADA WA 60, 000/= ATIBIWE
Emmanuel Nelson akiwa wodini Hospitali ya Taifa Muhimbili. EMMANUEL NELSON mwenye umri wa miaka kati ya (30 au 35, ambaye ni mzaliwa wa Mbamba Bay, Ruvuma, na ambaye wazazi wake wanaishi Dodoma, anaomba msaada wa kutibiwa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Dec
Baba aomba msaada mtoto wake atibiwe
PAULO Msangawale anayesoma Shule ya Msingi Katusa, Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameshindwa kuendelea na masomo baada ya kupata ulemavu wa kudumu na sasa anaomba msaada wa matibabu zaidi.
10 years ago
Michuzi23 May
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Aomba msaada wa matibabu
GERALD Mwambungu (35) mkazi wa Ubungo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam, anaomba msaada wa kwenda India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake wa kulia. Akizungumza jana katika ofisi...
10 years ago
BBCSwahili23 Feb
Al-Sisi,aomba msaada dhidi ya IS
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Obama aomba msaada wa dharura
10 years ago
Habarileo09 Feb
Jaji aomba msaada ACHPR
RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR), Jaji Augustino Ramadhani amemwomba Rais Joachim Gauck wa Ujerumani kutumia uwezo wake kuzishawishi nchi zingine za Afrika kuridhia mkataba wa Malabo, unaotaka mahakama hiyo kushughulikia pia mashauri ya kijinai na masuala mengine ya kisheria.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Kisaka aomba msaada wa matibabu
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Aliyejifungua pacha wanne aomba msaada
MKAZI wa Kijiji Chakijage, Kata ya Rwabwere, Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, aliyejifungua watoto wanne pacha, Jodephina Rugambwa (30), ameiomba serikali kumpatia msaada ili kumsaidia kulea watoto wake. Akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Njavike aungua moto, aomba msaada
ADOLOTEA Njavike (1), ameungua moto hadi kukaribia kupata ulemavu. Juhudi zinahitajika ili kuokoa hali hiyo inayomkabili. Wazazi wa mtoto huyo hawana uwezo hivyo imewabidi waombe msaada utakaosaidia katika matibabu ya...