Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njavike aungua moto, aomba msaada

ADOLOTEA Njavike (1), ameungua moto hadi kukaribia kupata ulemavu. Juhudi zinahitajika ili kuokoa hali hiyo inayomkabili. Wazazi wa mtoto huyo hawana uwezo hivyo imewabidi waombe msaada utakaosaidia katika matibabu ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mkazi Dar aungua moto

MKAZI wa Sinza ‘A’, Mariam Kabaka (32) ameungua baada ya chumba alichokuwa anaishi kuwaka moto. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aomba msaada wa matibabu

GERALD Mwambungu (35) mkazi wa Ubungo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam, anaomba msaada wa kwenda India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake wa kulia. Akizungumza jana katika ofisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kisaka aomba msaada wa matibabu

Kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka amewaomba Watanzania na wadau wote wa soka kumsaidia katika kutibu maradhi yanayomsumbua.

 

10 years ago

Habarileo

Jaji aomba msaada ACHPR

Rais wa ACHPR, Jaji Augustino Ramadhani RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR), Jaji Augustino Ramadhani amemwomba Rais Joachim Gauck wa Ujerumani kutumia uwezo wake kuzishawishi nchi zingine za Afrika kuridhia mkataba wa Malabo, unaotaka mahakama hiyo kushughulikia pia mashauri ya kijinai na masuala mengine ya kisheria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al-Sisi,aomba msaada dhidi ya IS

Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi ameomba jumuiya ya kiarabu Pan-Arab kutoa majeshi ili kukabiliana na Islamic State.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aomba msaada wa dharura

Anahitaji dola bilioni 3.7 za dharura kusaidia kukabiliana na ongezeko la watoto waliohama peke yao kutoka Amerika ya kati

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aliyejifungua pacha wanne aomba msaada

MKAZI wa Kijiji Chakijage, Kata ya Rwabwere, Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, aliyejifungua watoto wanne pacha, Jodephina Rugambwa (30), ameiomba serikali kumpatia msaada ili kumsaidia kulea watoto wake. Akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani