Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkazi Dar aungua moto

MKAZI wa Sinza ‘A’, Mariam Kabaka (32) ameungua baada ya chumba alichokuwa anaishi kuwaka moto. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Njavike aungua moto, aomba msaada

ADOLOTEA Njavike (1), ameungua moto hadi kukaribia kupata ulemavu. Juhudi zinahitajika ili kuokoa hali hiyo inayomkabili. Wazazi wa mtoto huyo hawana uwezo hivyo imewabidi waombe msaada utakaosaidia katika matibabu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mkazi Dar kortini akituhumiwa ugaidi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.MKAZI wa Kitunda, Jihad Swalehe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi na kuomba msaada wa vifaa, fedha na ujuzi wa kulipua mabomu kwa lengo la kuwadhuru watu wa Kenya.

 

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU JIJINI DAR

Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini (Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini.
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKOFU GWAJIMA AFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM

 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi, Yekamia Behagaza wakati wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, walipofikishwa mahakamani hapo kwa kosa la kutoa lugha za matusi na kukutwa na silaha kinyume cha sheria.(Picha na Francis Dande wa Habari Mseto Blog) Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima akiwa ameshikana mkono na mshtakiwa mwenzake askofu msaidizi,...

 

10 years ago

Michuzi

Mkazi wa Kawe jijini Dar ajishindia Kitita cha Tsh milioni 100 za Jaymillions

Mkazi wa Kawe jijijini Dar es Salaam Irene Mrema ameibuka kuwa mshindi wa kitita cha fedha taslimu shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania. Mrema ambaye ni mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) amesema kuwa amefurahia ushindi huu na ana imani kitita alichojishindia kwa kiasi kikubwa kitayabadilisha maisha yake kuwa bora zaidi.”Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniona na nashukuru Vodacom kwa kuleta promosheni kwa ushindi huu...

 

5 years ago

Michuzi

MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25

MKAZI wa Jiji la Dar es Salaam Pedro Chongo a.k.a Salim Mgana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye uzito wa gramu 1523.25.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate  imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkazi wa Dar Es Salaam akamatwa na Jeshi la Polisi Mbeya akiwa na meno ya Tembo kilo 8.5

MSANGI NYARAKA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi.

Na Emanuel Madafa, Mbeya

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya  linamshikilia Lukas Wambura (38)  Mkazi wa Banana – Dar es salaam  mwenye shahada ya dharura ya kusafiria ab-10044029  akiwa na  vipande vinne vya meno yadhaniwayo kuwa ya tembo vyenye uzito wa kilo 8.4 yenye thamani ya dola za kimarekani 30,000, sawa na tshs 64,140,000/=.

Tukio hilo limetokea Novemba  30 -2015 majira ya saa12 jioni  katika eneo la custom – mpakani tunduma, , wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani