Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taya ya mtu wa kwanza yagunduliwa

Wanasayansi wamegundua taya wanaodai ni ile ya mtu wa kwanza duniani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa kwanza akutwa na virusi hivyo Kenya

Kisa cha kwanza cha virusi vya corona chathibitishwa Kenya

 

10 years ago

Mwananchi

Mjue mtu aliyechochea kuzuka kwa Vita ya Kwanza ya Dunia-2

Mwaka 1912, Gavrilo Princip alifukuzwa shule kwa sababu ya kushiriki maandamano ya kupinga utawala wa Austria-Hungary. Kwa mujibu wa mwanahistoria Malcom Noel, Princip aliondoka Sarajevo muda mfupi baada ya kutimuliwa shule na kuanza safari ya kilometa 280 kwa miguu kuelekea Belgrade

 

5 years ago

Michuzi

Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio ya chanjo ya kinga dhidi ya virusi vya corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.

Wagonjwa wanne walidungwa sindano ya virusi katika kituo cha utafiti Kaiser Permanente mjini Seattle, Washington, limeripoti shirika la habari la Associated Press.

Chanjo hiyo haiwezi kusababisha Covid-19 lakini ina jeni la virusi ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa.

Wataalamu wanasema itachukua miezi mingi kujua ikiwa chanjo hii, au utafiti mwingine,...

 

5 years ago

CCM Blog

MTU WA KWANZA KUTENGENEZA NA KUTUMIA SIMU, UZITO KILO 2, INACHAJIWA SAA 12


Anaitwa Martin Cooper, amezaliwa December 26, 1928, huko Schaumburg Illinois Chicago, USA, Elimu yake ni PhD in Electrical Engineering, anafahamika kama Baba wa simu za mkononi.Ni mtu wa kwanza kutengeneza na kutumia simu ya mkononi isyotumia waya (wireless) katika kampuni ya simu na vifaa vya umeme ya Motorola huko Schaumburg Illinois Chicago US. 1973, yeye ndiye chanzo cha kutokea kwa simu hizi akishirikiana na engineer mwenzie John F. Mitchell.Simu ya kwanza ilikuwa na uzito wa Kg 2,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Kikundi cha vijana wenye afya nzuri mjini Seattle wamedungwa virusi kwa ajili ya kufanyiwa utafiti wa chanjo

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wanasayansi wanakuna vichwa kubaini jinsi mtu wa kwanza alivyopata corona

Huku visa vya maambukizi ya coronavirus vikiendelea kuongezeka nchini China na ulimwengu mzima, harakati za kumtambua binadamu wa kwanza "patient zero" aliyepata ugonjwa huo zinaendelea.

 

9 years ago

Bongo5

Rekodi mpya ya Youtube yafikiwa, huyu ni mtu wa kwanza kufikisha views bilioni 10 za video zake!

PewDiePie kwa wale ambao hawamfahamu ndio mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube. Hadi sasa PewDiePie ana zaidi ya subscribers milioni 39. Weekend hii mtu huyo alifikisha views bilioni 10 za video zake zote kwa pamoja, kitu ambacho kimevunja rekodi ya mtandao wa Youtube kwakuwa imevuka kaunta yake (kikomo cha views). Hii si […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani