Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Mtu wa kwanza akutwa na virusi hivyo Kenya

Kisa cha kwanza cha virusi vya corona chathibitishwa Kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa pili akutwa na virusi hivyo DR Congo

Kisa cha pili cha maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus kimethibitishwa nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Kikundi cha vijana wenye afya nzuri mjini Seattle wamedungwa virusi kwa ajili ya kufanyiwa utafiti wa chanjo

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kenya yatangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona

Kenya imetangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa aliyekuwa akiugua virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

Burkina Faso yaripoti kifo cha kwanza cha Corona 'Sub-Sahara', virusi hivyo vyaua karibu 500 Italia ndani ya saa 24

Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Waziri wa Afya wa Kenya, Mutahi Kagwe amesema kuwa, watu wote hao saba wametoka nje ya Kenya. Wawili kati ya wagonjwa hao watatu wa karibuni kabisa wametokea Madrid Uhispania kupitia Dubai na mgonjwa wa tatu ni raia wa Burundi aliyewasili katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi akitokea Dubai...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Beki wa kati, Daniele Rugani akutwa na virusi , wachezaji wa Arsenal wajiweka karantini

Juventus imetangaza kwamba beki wa kati wa Italia Daniele Rugani amepatikana na virusi corona.

 

5 years ago

Michuzi

Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio ya chanjo ya kinga dhidi ya virusi vya corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.

Wagonjwa wanne walidungwa sindano ya virusi katika kituo cha utafiti Kaiser Permanente mjini Seattle, Washington, limeripoti shirika la habari la Associated Press.

Chanjo hiyo haiwezi kusababisha Covid-19 lakini ina jeni la virusi ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa.

Wataalamu wanasema itachukua miezi mingi kujua ikiwa chanjo hii, au utafiti mwingine,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je maambukizi ya mwisho ya virusi hivyo yatafanyika wapi?

Chini ya miezi mitatu iliyopita- virusi vya coronavirus vilikua ndani ya Uchina pekee. Hapakua na kisa hata kimoja kilichokua kimepatikana nje ya nchi hiyo ambako virusi hivyo vilianzia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanasayansi waelezea chanzo cha virusi hivyo

Mlipuko wa virusi vya corona ambao umewawacha zaidi ya watu milioni moja wakiwa wameambukizwa na wengine 60,000 wakiwa wamefariki umebadilisha ulimwengu ulivyokuwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya coroni: Je maiti ya mgonjwa wa corona inaweza kusambaza virusi hivyo?

Maswali mengi kuhusu jinsi ya kuzika maiti ya muathirika wa covid-19 yamekuwa yakijibiwa shirika la WHO.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani