MTANZANIA AFARIKI MAREKANI, NDUGU WA MAREHEMU WATAKIWA KUJITOKEZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-JUfAkZuxykw/UzPUoT4AmyI/AAAAAAAA8jk/rcMHt1N9XaU/s72-c/IMG-20140327-WA0002.jpg)
Habari kutoka Madison Wisconsin nchini Marekani zinasema kuwa mtanzania, Michael Agustine Lukindo (pichani), amefariki Dunia na hakuna taarifa zozote kuhusiana na ndugu zake. Lukindo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Tanga ameacha mke na watoto wanne.
Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Oliver Temba juhudi za kuwapata ndugu zake hazikufanikiwa. Marehemu Michael Lukindo amefariki dunia mjini Madison Wisconsin-USA, kutokana na hali hiyo familia ya marehemu imewaomba ndugu wea marehemu kujitokeza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLALIYEVUNJWA TAYA AFANYIWA OPARESHENI, NDUGU WAOMBWA KUJITOKEZA
11 years ago
Habarileo15 Dec
Watakiwa kujitokeza kupima selimundu
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kupima damu ili kufahamu kama wana ugonjwa ama vinasaba vya ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili waweze kupewa matibabu mapema.
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Wananchi watakiwa kujitokeza kuchangia damu
WANANCHI wa Mkoa wa Morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa hiari katika maadhimisho ya Wiki ya Damu, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa taifa wa damu salama. Wito...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WEJ3mfTOKlo/VkHek4HvW_I/AAAAAAAIFMg/eE16RXLJZtM/s72-c/001.CCBRT.jpg)
WANAOSUMBULIWA NA MARADHI YA FISTULA WATAKIWA KUJITOKEZA WATIBIWE BURE
![](http://1.bp.blogspot.com/-WEJ3mfTOKlo/VkHek4HvW_I/AAAAAAAIFMg/eE16RXLJZtM/s640/001.CCBRT.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HFQ3F77e16E/VkHelAh8n5I/AAAAAAAIFMY/Hgpgh48p4jI/s640/002.CCBBRT.jpg)
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye kambi ya kupima Afya bila malipo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima afya bila malipo kwa watoto wadogo, itakayofanyika Jumapili ya Machi 8 mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO, Amit Nandy na kulia ni mwakilishi wa shule ya Kibugumu, Mwalimu Mzamili Ally.
Na Andrew Chale modewji...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSCN9215.jpg)
WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE KAMBI YA KUPIMA AFYA BILA MALIPO KWA WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 5
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-K9hO7wVjFwk/VcNL4ePXoVI/AAAAAAAHuko/ZynudJvddmA/s72-c/unnamed%2B%252849%2529.jpg)
Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oDtF2zwUl_4/UzHgewgJwjI/AAAAAAACeP0/W__xmjZYwqA/s72-c/michael.jpg)
Michael Agustine Lukindo Mtanzania aliyefariki Wisconsin wanatafutwa ndugu zake - maiti kuchomwa moto Jumamosi
![](http://3.bp.blogspot.com/-oDtF2zwUl_4/UzHgewgJwjI/AAAAAAACeP0/W__xmjZYwqA/s1600/michael.jpg)
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa. Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka 30. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989. Familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29, 2014, ila mwili utachomwa. Kama una fununu au kujua lolote kuhusiana na...
9 years ago
Michuzi09 Nov
PROMOTER MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI ASHINDA TUZO YA "BEST PROMOTER" MAREKANI
![](http://api.ning.com/files/RU-BxEuC-r5L49t1VgougKPalqMvqcRhN9mocdYJa4EkUFsm57mrH1Z8sarzMH5jz8AJmtylo3kEuxVFeUY-pN-1jCQToN6c/IMG20151101WA0008.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/RU-BxEuC-r6IbrDtM0FUEHTOoGaDtfqbWtSY4zjE2aJXYK5IuaX6KGyQ7ubPFdA7iibyTJTBN9oZpTjGQCL3YpW4-FXZlJGx/IMG20151101WA0008.jpg?width=650)
...