Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI WARIOBA AKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI NCHINI (TEF) NA BARAZA LA HABARI (MCT)

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya Tume hiyo na Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar esa Salaam leo Alhamisi Januari 2, 2014. Anayeshuhudia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga.
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga akiongea wakati akifungua katika mkutano huo Picha za pamoja ya mgeni rasmi na washiriki baada ya ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA HABARO TANZANIA (MCT), IKULU DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 11, 2014 kwa ajili ya mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea baadhi ya machapisho ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kutoka kwa Rais wa Baraza hilo, Jaji Thomas Mihayo, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.

 

10 years ago

GPL

LOWASAA AKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JANA DODOMA

  Waziri Mkuu mstaafu, Edward lowassa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dodoma jana kuhusu mambo mbalimbali pamoja na safari ya matumaini.  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na wahariri mjini Dodoma hao.
    Wahariri wakimsikiliza kwa makini Lowassa. …

 

11 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA VURUGU ALIYOFANYIWA JAJI WARIOBA

Jaji mstaafu Joseph Warioba akitolewa nje baada ya kutokea vurugu katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere kwenye wa ukumbi wa Blue Pear jijini Dar es Salaam jana.Picha: Halima Kambi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, jana alifanyiwa vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa kongamano la kujadili mambo ya msingi ya kuangaliwa katika Katiba inayopendekezwa.

Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo. Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, jana Novemba 14, 2014.Makamu wa Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na wahariri wa vyombo vya habari kwa mazungumzo Jijini Dar

001

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (Picha na OMR).

002

04

Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, Novemba 14, 2014.

01

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani