Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HABARI KWA KINA VURUGU ALIYOFANYIWA JAJI WARIOBA

Jaji mstaafu Joseph Warioba akitolewa nje baada ya kutokea vurugu katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere kwenye wa ukumbi wa Blue Pear jijini Dar es Salaam jana.Picha: Halima Kambi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, jana alifanyiwa vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa kongamano la kujadili mambo ya msingi ya kuangaliwa katika Katiba inayopendekezwa.

Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA KUHUSIANA NA VURUGU YA WANANCHI BAADA YA POLISI KUUA MTU MMOJA


Wananchi wakiangalia moto uliowashwa na watu wasiojulikana wakati wa vurugu baina ya polisi na wananchi katika mji mdogo wa Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa jana. Picha ya Mtandao HUKO ILULA MKOANI IRINGA
Kilolo. Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa wananchi waliokuwa na hasira walichoma moto magari yaliyokuwa yameegeshwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?

BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...

 

11 years ago

GPL

JAJI WARIOBA AKUTANA NA JUKWAA LA WAHARIRI NCHINI (TEF) NA BARAZA LA HABARI (MCT)

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akikabidhi nakala za Rasimu ya Katiba kwa Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena (katikati) wakati wa mkutano baina ya Tume hiyo na Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF) uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar esa Salaam leo Alhamisi Januari 2, 2014. Anayeshuhudia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Bw. Kajubi Mukajanga.
...

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA MKUTANO WA CUF NA WAANDISHI WA HABARI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF, Magdalena Sakaya akizungumza, Dar es Salaam jana kuhusu vikao vya Baraza kuu la uongozi wa Chama hicho kwa ajili ya kutoa uamuzi wa kumsimamisha mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Umoja wa katiba ya Wananchi Ukawa. Kulia ni Mkurugenzi wa Habari, Abdul Kambaya. Picha na Venance Nestory
Dar es Salaam. Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), limeutaka uongozi wa chama hicho kusitisha uamuzi wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka

Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba jana alivamiwa na kikundi cha watu wachache waliohudhuria mdahalo wa Katiba wakati akihoji vitendo vya baadhi ya watu kutumia vibaya jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba asilaumiwe kwa Rasimu ya Katiba

>Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Katiba, wamewataka wenzao kuacha kutoa tuhuma za kumlaumu, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kutokana na Rasimu ya pili aliyoiwasilisha bungeni, badala yake wajiandae kutetea misimamo yao

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani