Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWEWE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (aliyesimama pembeni) ,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe  wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014  Rais Jakaya Mrisho...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MSAZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama mzazi wa Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani nyumbani kwake Kimara leo Februar 06, 2015 alipofika kwa ajili ya kumfariji. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwafariji wana familia ya Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani alipomtembelea nyumbani kwake Kimara leo Februar 06, 2015, kutokana na kufiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa amfariji mzee Ndejembi,kwa kufiwa na mjukuu wake

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na mdogo wa marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam.Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao marehemu alikuwa mjukuu wao.Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa mwanasiasa huyo mkongwe eneo la Uzunguni mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na mjukuu wake huyo. Mzee Ndejembi akimuelezea Mh Lowassa mkasa mzima wa kifo Cha mjukuu wake, Betty Ndejembi aliyeuawa...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amfariji Nehemia Mchechu kwa kufiwa na baba yake

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Marehemu John Edward Mchechu ambaye ni baba wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bwana Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jana kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.Kulia aliyesimama ni Mtoto wa Marehemu Bwana Nehemia Mchechu.Rais  Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?

BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE

 Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba asilaumiwe kwa Rasimu ya Katiba

>Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Katiba, wamewataka wenzao kuacha kutoa tuhuma za kumlaumu, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kutokana na Rasimu ya pili aliyoiwasilisha bungeni, badala yake wajiandae kutetea misimamo yao

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KWA KINA VURUGU ALIYOFANYIWA JAJI WARIOBA

Jaji mstaafu Joseph Warioba akitolewa nje baada ya kutokea vurugu katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere kwenye wa ukumbi wa Blue Pear jijini Dar es Salaam jana.Picha: Halima Kambi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, jana alifanyiwa vurugu kubwa zilizosababisha kuvunjika kwa kongamano la kujadili mambo ya msingi ya kuangaliwa katika Katiba inayopendekezwa.

Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) na...

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.  PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani