Rais Kikwete amfariji Nehemia Mchechu kwa kufiwa na baba yake
![](http://1.bp.blogspot.com/-4lJbhkwnxGo/VbHUMxHyr7I/AAAAAAAHrag/ZgdehYqZxwE/s72-c/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Marehemu John Edward Mchechu ambaye ni baba wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bwana Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jana kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.Kulia aliyesimama ni Mtoto wa Marehemu Bwana Nehemia Mchechu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRais Kikwete amfariji Nehemia Mchechu
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LOwMZ4GvkOo/U3c29Q8IQtI/AAAAAAAFiSY/slT1k-dXooM/s72-c/w1.jpg)
RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKWE WAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-LOwMZ4GvkOo/U3c29Q8IQtI/AAAAAAAFiSY/slT1k-dXooM/s1600/w1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Clyg5eeodYY/U3c291xTQeI/AAAAAAAFiSc/eT-wRVXdw5M/s1600/w2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iXX4F04PwYY/U3c29fWKrCI/AAAAAAAFiSg/c3IPAmRknWA/s1600/w3.jpg)
10 years ago
MichuziDKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MSAZI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UCv7pRaz3Pc/VnUaA5cpRyI/AAAAAAAINWI/IQCr0YyIcS4/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-30%2Bat%2B3.56.53%2BPM.png)
Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi Rais Kikwete kwa kufiwa na Dada yake
![](http://2.bp.blogspot.com/-UCv7pRaz3Pc/VnUaA5cpRyI/AAAAAAAINWI/IQCr0YyIcS4/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-30%2Bat%2B3.56.53%2BPM.png)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India.
Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kuondokewa na mtu muhimu kwa familia."Kwa masikitiko makubwa nakupa...
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
modewjiblog inatoa pole kwa Mh Dk. Hamisi Kigwangalla kwa kufiwa na baba yake
Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla (CCM) ambaye ametangaza nia ya kutaka kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 amefiwa na baba yake mzazi Mzee Kigwangalla aliyekuwa akipatiwa matibabu nchi India.
modewjiblog inatoa pole kwa familia nzima ya Dk. Hamis Kigwangalla katika kipindi hichi kigumu, Mwenyezi Mungu awatie nguvu na faraja.
inna lillahi wa inallah-e-raji’oon.
11 years ago
Michuzi17 May
10 years ago
MichuziMh. Lowassa amfariji mzee Ndejembi,kwa kufiwa na mjukuu wake
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Nehemia Mchechu mgeni rasmi tamasha la ‘mateja’
NA MWANDISHI WETU
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kwaya mbalimbali lenye lengo la kuchangia uanzishwaji wa Kituo cha kusaidia vijana walioathirika na dawa za kulevya.
Tamasha hilo lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kigogo, litafanyika Jumapili ya Oktoba 18, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Msanii kutoka Kenya, Solomoni Mukubwa, kwaya ya...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-t7fzP48jN30/U6fqRE4ZKpI/AAAAAAAFsZE/otg-vI1Wt9E/s72-c/Screen+Shot+2014-06-23+at+11.45.38+AM.png)
NDG. Nehemia Mchechu nyie mwenyekiti mpya wa Bodi ya SBL
Ndugu Nehemia Mchechu kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba la Taifa( NHC) . Bw. Mchechu anauzoefu mkubwa katika masuala ya fedha na usimamizi....