Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENYEKITI JUKWAA LA KATIBA...

Stori: Makongoro Oging’ na Mayasa Mariwata
MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba (pichani) amejikuta akishikilia roho mkononi baada ya kupewa vitisho na mtu asiyejulikana kuwa atamuua bila kumueleza sababu.  Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba Taarifa kutoka chanzo chetu ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania zinasema kuwa, kiongozi huyo alipewa vitisho hivyo Julai 23, mwaka huu na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.

 

11 years ago

Michuzi

JUKWAA LA KATIBA WATANGAZA KUSULUHISHA MGOGORO WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi za Jukwaa la Katiba jijini Dar es Salaam katika kutoa tamko rasmi za tathimini ya Jukwaa la Katiba Tanzania kuhusu Katiba Mpya, Tulipotoka, Tulipo na Tuendako. Pembeni ni Msimamizi wa Mradi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya (NGO Network for Dodoma) Bw. Edward Mbogo (kushoto) na Mjumbe wa Jukwaa la Katiba toka Pemba Bw. Omari Omari.
Waandishi wa Habari wakifuatilia. --- Na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tamko la jukwaa la Katiba kuhusu Bunge Maalum la Katiba linaloanza Dodoma Agosti 5, 2014

2

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), Deus Kibamba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kuhusu Bunge la Katiba litakaloanza Agosti 5, 2014 ambapo walishauri Bunge hilo likae wiki mbili badala ya miezi miwili kama ilivyopangwa ili kupunguza matumizi makubwa ya fedha za Umma. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Kamati na Uongozi Jukata Omar Ali Omar,  Meneja Habari na Mawasiliano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Kenny...

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta awaahidi walemavu kutendewa haki katika Katiba Mpya


MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel  Sitta amewahakikishia Watu wenye Ulemavu nchini kuwa wanatendewa haki katika Katiba Mpya itakayopatikana.


Mhe. Sitta ameyasema hayo leo Septemba Mosi, 2014 katika mkutano wake na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambalo lilikuja katika Bunge Maalum kwa lengo la kuwasilisha hoja zenye msisitizo kuhusu haki za watu wenye ulemavu katika mchakato Katiba Mpya.


Mhe. Sitta amesema kuwa kazi...

 

10 years ago

Mwananchi

Maaskofu Jukwaa la Wakristo: kataeni Katiba

Jukwaa la Wakristo Tanzania limewataka waumini wake kujiandikisha kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kujitokeza kuikataa kwa kupiga kura ya “hapana”.

 

10 years ago

Habarileo

Jukwaa la Katiba lalikubali Bunge Maalum

WAKATI Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta akiwataka wanasiasa nchini kuacha kuchezea Muungano, Jukwaa la Katiba limesema limefurahishwa na hatua iliyofikiwa na Bunge hilo kwa sasa.

 

10 years ago

Habarileo

Jukwaa la Katiba lataka wagombea kupima afya

Mwenyekiti wa Jukata, Deus KibambaJUKWAA la Katiba nchini (JUKATA) limesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa, ipo haja ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kupimwa afya zao na kutangazwa kwa wananchi ili kuepuka kuwaweka wagonjwa madarakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani