Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHUGAJI MBARONI KUMCHINJA MWANAYE

Mwandishi wetu
DUNIA ina mambo! Mchungaji wa kanisa moja mjini Harare nchini Zimbabwe, ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekamatwa na polisi baada ya kukutwa akitaka kumuua mwanaye wa kumzaa kwa kumchinja na kisu shingoni, kitendo alichokifanya nyumbani kwake mwishoni mwa wiki iliyopita. Mchungaji akiwa chini ya ulinzi. Mchungaji huyo ambaye hata hivyo hakueleweka ni wa kanisa gani, akiwa amevaa nguo zake za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Baba mzazi adaiwa kumchinja mwanaye

Baba mzazi na mkazi wa Kijiji cha Sima wilayani hapa mkoani Mwanza anadaiwa kumuua kikatili mwanaye Maneno Faida (4) kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje.

 

10 years ago

GPL

BABA ANAYEDAIWA KUMCHINJA MWANAYE HUYU HAPA

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata MAPYA yameibuka! Kwamba baba mzazi anayedaiwa kumchinja mwanaye hivi karibuni maeneo ya Mabibo Luhanga jijini Dar, Maneno William Kasuga (50) (pichani),  kuwa kabla hajafanya unyama huo aliomba atumiwe pesa na mzazi mwenzie ndipo  amrudishe mtoto. Baba aliyefahamika kwa jina la William Kasuga akionekana katika picha na mwanae aliyemchinja. Akizungumza na waandishi wetu bibi wa marehemu...

 

10 years ago

GPL

MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI

Stori: Haruni Sanchawa
Tukisema dunia imekwisha,tutakuwa hatujafanya makosa maana matukio ya utesaji, unyayasaji na ukatili kwa watoto wachanga yamekuwa yakichukua kasi  kubwa ndani ya jamii. Mtuhumiwa Bhoke Steven (21) anayedaiwa kumfungia ndani mwanaye anayejulikana kwa jina la Steven Amos (miezi 10). Hivi karibuni mama mmoja, Bhoke Steven (21) (pichani), mkazi wa Kitunda, wilayani Ilala, Dar es Salaam amejikuta matatani...

 

11 years ago

CloudsFM

INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MWANAYE

Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).

Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Mbagala...

 

11 years ago

KwanzaJamii

INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAYE

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16). Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema marehemu Alerd alikuwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Inspekta wa Polisi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanaye

>Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).

 

11 years ago

GPL

UNDANI MUME KUMCHINJA MKEWE!

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamsaka kwa udi na uvumba, muuza nyama jijini hapa, Lucas Lomayany Molel (37) mkazi wa Ilboru kwa madai ya kumuua mkewe wa ndoa, Agnes Lucas (24) kwa kumcharanga na sime kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutokana na wivu wa mapenzi. Dada wa Lucas Lomayany Molel (37) anayesakwa kwa kumuua mkewe wa ndoa, Agnes Lucas (24), akiwa katika chumba kilichotumika kwa mauaji hayo. Chanzo cha habari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mume akiri kumchinja mkewe London

Mwanamume mmoja amekiri kumchinja na kisha kumkatakata mkewe katika nyumba yao mjini London.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakamani kwa kumchinja mpenzi wake

Kesi imeanza ya mwanamume anayedaiwa kumuua na kumkatakata vipande mpenzi wake na kuwatumia wanasiasa vipande hivyo kwa posta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani