Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakamani kwa kumchinja mpenzi wake

Kesi imeanza ya mwanamume anayedaiwa kumuua na kumkatakata vipande mpenzi wake na kuwatumia wanasiasa vipande hivyo kwa posta.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jela kwa kumwibia mpenzi wake

Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, imemhukumu kifungo cha miezi tisa jela, Haven Robert(24) baada ya kupatikana na hatia ya kumwibia mpenzi wake Sh 3.9 milioni.

 

11 years ago

GPL

MESSI AONYESHA MALAVIDAVI KWA MPENZI WAKE

Lionel Messi akiwa na mpenzi wake Antonella Roccuzzo. Mpenzi wa nyota wa Barcelona, Lionel Messi ametimiza miaka 26, mpenzi wake amelazimika kuungana naye na kusherekea licha ya kwamba timu yake ilipoteza mchezo dhidi ya Real Sociedad. Messi pamoja na kuwa na majonzi lakini hakusita kuonyesha upendo kwa kipenzi chake hicho, Antonella Roccuzzo kwa kuandika kwenye ukuta wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram maneno haya huku...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kumkata kichwa mpenzi wake

Mwanamume aliyemuua kwa kumkata kichwa mpenzi wake amepatikana na hatia ya mauaji nchini Uingereza na kufungwa maisha jela

 

10 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kusambaza picha za mpenzi wake

Mwanamume mmoja mjini Los Angeles nchini Marekani, amefungwa jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza picha utupu za mchumba wake.

 

10 years ago

CloudsFM

MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.

MBUNGE wa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mhudumu wa Ofisi yake ya Mbunge wa Jimbo la Ukerewe jijini Mwanza.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...

 

9 years ago

GPL

KHLOE AMUACHA LAMAR, AREJEA KWA MPENZI WAKE

Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Khloe Kardashian. Los Angeles, Marekani
UBUYU mpya umepenyezwa kuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Khloe Kardashian, wiki iliyopita aliamua kumtelekeza aliyekuwa mumewe, Lamar Odom na kwenda kuhudhuria mechi ya NBA ambapo timu ya mpenzi wake wa sasa, James Harden, Houston Rockets ilikuwa inacheza. Akichonga na mtandao maarufu wa burudani...

 

5 years ago

CCM Blog

ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MPENZI WAKE

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia FESTO MADUHU (28 -30) Mbeba Mizigo @ Kuli na Mkazi wa Mtaa wa Benki Kabwe Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake na kisha yeye mwenyewe kujaribu kujiua kwa kisu.

Ni kwamba mnamo tarehe 22/03/2020 majira ya saa 09:00 Asubuhi huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “NEGERO” iliyopo Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika chumba namba 111 @ Victoria, Mwanamke mmoja aitwaye JESCA MICHAEL @ KUNGULU [28] Mhudumu wa...

 

11 years ago

CloudsFM

WITNESS NA MPENZI WAKE WAANZISHA SHULE KWA AJILI YA WASANII

Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha Witness pamoja na mpenzi wake ambaye naye ni msanii aitwaye Ochu Sheggy hivi karibuni wameachia audio na video ya ngoma yao mpya iitwayo Think About It, lakini pamoja na kuipromote ngoma hiyo wasanii hao wameanzisha shule kwa ajili ya wasanii ‘under grounds’,inaitwa ochuness all you need to know in this music business.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani