MBARONI KWA KUMCHOMA MAMA’KE BISIBISI
![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asfDahHHCi33KWGXQ0Phi9Y4ucJkkQ2K8Ian0NbGY94EU9nAudjxsSKHhEcUpy*Hgjwbi-u-g02UQOOF9*7wuAi/mbaroni.jpg?width=650)
Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima Kisanga! Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jumanne (28), ametiwa mbaroni na polisi kwa msala wa kumchoma kwa bisibisi mama’ke mzazi aitwaye Habiba Said au Mama Nyamsati na kumsababishia majeraha makubwa kichwani. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri hivi karibuni, maeneo ya Temeke-Pire jijini Dar ambapo Jumanne alidaiwa kutenda unyama huo kwa kumshambulia mama’ke kwa fimbo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/j9ENopHMH04/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjWtQ4*9ufTcQyS6KcX91tK56-OIsxv6oWeXK4Orwb0BaaJY482y24iP6S3e4O1LX8gi64ZDoC-cs9PKe0JeR-MG/mbaroni.jpg)
MAMA MBARONI KWA KUMFUNGIA MWANAYE NDANI
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Mke aua mume kwa kumchoma kisu shingoni
11 years ago
GPLALIYEMNG’ATA HAUSIGELI NA KUMCHOMA PASI AACHIWA KWA DHAMANA
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM JUU YA KUTIWA MBARONI KWA WATUHUMIWA SUGU WA KUPORA RAIA WA KIGENI NA AKINA MAMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-3NOjMuMBiGE/VTZtVEdl-QI/AAAAAAAHSRk/2SivmDfdMKs/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PheqtEYh_6Y/XujSw9KputI/AAAAAAALuEc/NzOuqZIwDuoLvf3xIbY9etWsDeOOff-ggCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.18.35%2BPM.jpeg)
MASHAHIDI 28 KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI INAYOMKABILI MTUHUMIWA ANAYEDAIWA KUMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA MAGUNIA MAWILI YA MKAA
JUMLA ya mashahidi 28 akiwemo Mtaalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Hadija Mwema wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Hamis Said Luongo (38) anayedaiwa kumuua mke wake kwa kumchoma na magunia mawili ya mkaa.
Mbali na mashahidi hao, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) atawasilisha mahakamani hapo vielelezo sita ikiwemo ramani ya tukio la mauaji, maelezo ya onyo ya mshitakiwa, ungamo la mshitakiwa kwa mlinzi wa...